Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

Hii ndiyo miradi iliyofanyika Chato

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,269
Hii ndio chato
IMG-20210329-WA0007.jpg
 
Imetajwa wilaya sio mkoa! Pia ni wilaya ambayo haiko ndani ya jiji.

Kwahiyo kama ni kulinganisha inatakiwa uoneshe ni wilaya ipi nyingine iliyo vijijini iliyopokea miradi mingi kama hiyo ya chatu
Mkuu wapi nimesema chochote kuhus haya?! mimi nimeomba details kusudi nifahamu details mbalimbali katika miradi ya maeneo mengine. Sijazungumza kingine wala kusema chochote.

Oke, naomba details za wilaya ya Kinondoni, Temeke, Kigamboni, Ubungo, Morogoro Mjini, Dodoma Mjini, Ilala, Ilemela, Mbeya Mjini, Kisarawe, na Bagamoyo.
 
Wewe si umetaka hayo ili ujifanye mbona na huku ilioelekwa miradi kama chato?

Akili yako nishaisoma kitambo
 
Mkuu wapi nimesema chochote kuhus haya?! mimi nimeomba details kusudi nifahamu details mbalimbali katika miradi ya maeneo mengine. Sijazungumza kingine wala kusema chochote.

Oke, naomba details za wilaya ya Kinondoni, Temeke, Kigamboni, Ubungo, Morogoro Mjini, Dodoma Mjini, Ilala, Ilemela, Mbeya Mjini, Kisarawe, na Bagamoyo.
Ulizia wilaya ya Ruangwa, iliyopo mkoa wa Lindi.
 
Back
Top Bottom