Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima. Kodi hazieleweki. Madeni ya nchi yanazidi kupanda. Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao. Nyie wanyaturu vipi lakini?
0 Reactions
15 Replies
503 Views
Nimemsikia Mwigulu anasema kwa kujigamba kwamba benki ya dunia inafanya tathimini sasa kama bado tunastahili kuitwa nchi masikini. Hivi ni kweli Mwigulu afahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania...
1 Reactions
14 Replies
630 Views
Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu...
4 Reactions
3 Replies
455 Views
Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala. Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake...
1 Reactions
5 Replies
380 Views
Mifumo mitatu ya kiutawala watu wengi hawajui au hujitoa ufahamu kwa sababu tu wana AMRI ya kutiisha majeshi yanayowazunguka. Wakisahau kuwa hao wanajeshi wanao walinda sisi wananchi ni ndugu zao...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Mwaka jana mgogoro kati ya serikali na wafanyabiashara ulikuwa mkubwa kiasi cha kumtoa Waziri mkuu ofisini na kuja kusuluhisha. Pamoja na waziri wa fedha Mwigulu kutupiwa lawama zote kwenye...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Huko Kenya katika budget yao iliyosomwa siku moja na sisi kuna vitu vimetangazwa kama ongezeko la kodi nk mambo ambayo yana maumivu kwa raia. Tofauti na tabia zetu, wao ASAP wakaingia barabarani...
16 Reactions
87 Replies
3K Views
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio Ni uswahilini hakuna utulivu...
24 Reactions
101 Replies
9K Views
Mbunge wa Viti Maalum mh Munde Tambwe Amelia na Bei ya sukari Kuwa kubwa Tanzania huku Malawi, Zambia na Rwanda ikiuzwa Kwa bei rahisi Sana Tambwe amewataka wabunge wawe Wakweli Kwani lazima kuna...
6 Reactions
74 Replies
5K Views
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Akiwaapisha wateule Ikulu, Rais Samia Kwa kinywa chake amekataa article ya kitapeli inayosemwa Tanzania ni ya 3 Kwa wananchi wake kuwa na furaha. Rais Samia amekataa utafiti huo uchwara na kusema...
23 Reactions
78 Replies
5K Views
Hizi taasisi za mataifa ya Afrika sijui kama zina faida yoyote nyingine zaidi ya kutoa ajira kwa baadhi ya watu!! Leo ni siku ya 3 tangu maandamano makubwa yaanze nchini Kenya, yanayotishia...
11 Reactions
17 Replies
825 Views
Huyu Dr Mdimwa hajulikani siasa za nchi hii. Kwzmba ni naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, bado ni mwanasiasa mchanga sana nchi hii. Tamko alilotoa kutaka Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi aongezewe muda wa...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Wananchi watapima, dawa watapewa, matibabu watapata ila KURA 2025 HAPANA, CCM ITULETEE MGOMBEA MWINGINE.
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Sioni faida ya kuwa na wabunge aina hii bungeni,kazi yao kulipwa na kutukana au kudhalilisha wabunge makini ambao wanakwenda kinyume na mafisadi serikalini,kwa hali hii hii nchi itachezewa sana
19 Reactions
64 Replies
2K Views
Wanabodi, Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura! Tangu tumehamia hapa...
25 Reactions
101 Replies
9K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la...
51 Reactions
560 Replies
41K Views
Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe. Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…