mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,039
- 35,922
Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao.
Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu.
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi.
Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao.
Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata hata ekari kumi sehemu tulivu.
Kongole JK kupeleka UDOM sehemu sahihi.