Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi sioni umuhimu wa kuwa na bandari. Kama bandari inatoa ajira hata tukiiuza mwekezaji ataajiri pia. Kama Watanzania tulipaswa kuwa na unafuu wa katika manunuzi ya bidhaa kuliko nchi nyingi...
1 Reactions
6 Replies
511 Views
Maandamano ya vijana wa Kenya ya kupinga mswada wa sheria ya kodi 2024/2025 yaliyanza kwa amani, na baadaye yameishia kwenye maafa. Lakini inaelezwa kuwa chanzo ni baada ya Polisi kumwua kijana...
2 Reactions
5 Replies
556 Views
Inaendelea kutoka kwenye heading..... Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na...
1 Reactions
5 Replies
491 Views
Kutizama taarifa za habari huko Nairobi, serikali ya CCM pia inajifunza mambo mengine muhimu kutoka kwa maandamano ya vijana wa Kenya, kama vile: 1. Umuhimu wa kujenga usawa na uwazi katika...
1 Reactions
8 Replies
676 Views
Ni mlolongo wa viongozi wa Umoja wa Vijana CCM, tangu HERI JAMES Hadi Mohamed Kawaida, kuanzia viongozi wa Vijana mikoa Hadi ngazi ya Kata kote ni majigambo na vitisho vya kupoteza maisha ya...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
"Kila mtanzania analaumu watanzania wengine ni wajinga hawaleti mabadiliko, na hao wanao laumiwa nao wanalaumu" - min -me Kwa takriban juma zima sasa suala la kashfa ya sukari ime trend sana...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Haki za kiraia na demokrasia ni misingi muhimu ya utawala bora. Vijana wanahitaji kuelewa haki zao na jinsi ya kuzitetea katika mazingira yoyote. Hii ni muhimu kwa sababu inawapa ujasiri wa...
4 Reactions
5 Replies
878 Views
Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Huwezi kuwasikia wakihoji juu ya bajeti iliyopita kama itawaletea manufaa tena Maana sasa kila kona ni juu ya jamaa aliyetekwa na wasiojulikana. Siku zote ni watu wa kufikiria mambo wanayoyaona...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Wananchi tunatoa matrilioni na matrilioni kama kodi lakini hatujaelezwa kodi zetu zinafanya kazi gani. Asilimia 99 kama siyo 100 ya miradi inayotekelezwa katika nchi hii inatekelezwa na fedha za...
2 Reactions
5 Replies
487 Views
Freeman Mbowe anadai serikali imeelemewa na madeni ndiyo maana kodi zimekuwa kubwa. Kulingana na maelezo yake asilimia 51% ya bajeti ni kwa ajili ya kulipa mikopo ya serikali. Kutokana na mzigo...
14 Reactions
64 Replies
3K Views
1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita). 2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya...
1 Reactions
2 Replies
388 Views
Jana kwa kuhitimisha mjadala wa Bajeti ya Serikali 2024/25 Mhe. Waziri wa Fedha aliwahakikishia Wananchi wa Nyatwali kuwa watalipwa haraka iwezekanavyo. Malipo haya yamechelewa kwa muda wa miaka...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
Habari wakuu!Naomba kupata CV na biography full ya mbunge ALLY MAKOA ambaye ndio mwenyekiti wa kamati ya maadili,haki na madaraka ya bunge.Nadhan ni vizuri kumuelewa bwana huyu kwakuwa wenyeviti...
0 Reactions
5 Replies
702 Views
Bado nawaza siku hawa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje? Madai ya Maafisa; 1. Kamata kamata ya trafiki, 2. Bei ya mafuta...
7 Reactions
16 Replies
741 Views
Salaam, Shalom!! Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili? Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Mojawapo ya mambo yanayozisaidia jamii kupiga hatua ya maendeleo ni pamoja na kujali muda.Naangalia tamasha la bulabo lililopo live TBC.Kila kiongozi anayepanda kuanza kuzungumza,anataja itifaki...
0 Reactions
1 Replies
420 Views
"Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa Waraka wa Elimu namba mbili wa...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
1 Reactions
7 Replies
855 Views
Back
Top Bottom