Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mpina atakuwa ana tatizo la afya ya akili (kwamba ni kichaa)? Hoja imetolewa na mbunge ambaye kaonyesha wasiwasi kuhusu afya ya akili ya mbunge Mpina. Ukichaa ni moja ya mago hwa yanayotibiwa na...
7 Reactions
82 Replies
8K Views
Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo...
2 Reactions
2 Replies
651 Views
Kwema Wakuu. Mzee mmoja ambaye ni chama dola anaongea hapa kwa majivuno kuwa hashangazwi na huo mgomo wala sio tishio kwa Serikali. Anasema kitakachomshangaza ni kama mgomo huo utadumu kwa siku...
12 Reactions
98 Replies
5K Views
Hivi kwanini watu lawama nyingi wanaitupia serikali? Hivi hatuwezi kuitumia japo hii fursa ya amani kufanya mambo makubwa? Ukiangalia kongo, Sudan na baadhi ya nchi za Afrika na dunia kiujumla...
0 Reactions
13 Replies
418 Views
Kurugenzi ya vyombo vya habari ya Wizara ya Usafiri ya Urusi iliripoti Jumatano kwamba mkataba wa usafiri wa anga umesainiwa na Tanzania. Naibu Waziri wa Usafiri wa Urusi, Vladimir Poteshkin na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA...
2 Reactions
6 Replies
362 Views
High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE Akichangia Hotuba ya Bajeti Kuu kwa Mwaka Mpya wa Fedha 2024/2025 "Mchango wangu unajielekeza kwenye kushauri namna ambavyo sisi kama Taifa tunaweza kutumia rasilimali...
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Nukuu za Afya wiki hii.
0 Reactions
0 Replies
319 Views
..serikali kupitia kwa RC Chalamila inakiri kuwaogopa Wachina na Wamachinga. ..lakini wengine wote wanatishiwa kuitiwa Jeshi la Wananchi. ..sina kumbukumbu ya Jeshi la Wananchi kutumiwa...
3 Reactions
9 Replies
831 Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
2 Reactions
7 Replies
849 Views
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina. Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na...
3 Reactions
5 Replies
680 Views
Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa sasa nchi yetu ina watu zaidi ya millioni 61 lakini huwezi kuamini mambo yanavyoenda mrama kila kukicha tangu tuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli. 1. Bwawa la mwl...
19 Reactions
75 Replies
3K Views
Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na...
9 Reactions
110 Replies
5K Views
Kwanza, Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa? Baada ya...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Usipite na gari lako Kijazi interchange. Kwa wanao toka Mbezi kuelekea kariakoo na Posta pitia njia ya Goba au maji chumvi. Fanya hivyo boss utakua na amani. Tuache kudharau viongozi wetu...
35 Reactions
207 Replies
5K Views
Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya...
50 Reactions
167 Replies
8K Views
Habari wakuu nipo mtaa wa mchikichi huku kariakoo maduka hayajafunguliwa hadi muda huu kuna nini kwani? Ngoja niangalie na mitaa mingine. UPDATES... Muonekano wa maduka mbalimbali katika...
31 Reactions
428 Replies
37K Views
Back
Top Bottom