WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape...
Ufisadi halimashauri?
Uzembe makazini?
Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini?
Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya?
Waarabu wameleta ufanisi...
Kuna utapeli mkubwa unafanyika na serikali ipo kimya. Tena utapeli wa kutumia idara za serikali. Nina ushahidi wote wa namba za wahusika. Naomba mwenye namba ya msaidizi wa Makonda ili nimtumie...
Nimependa Sana hii kauli ya Rais wa Mabunge ya Dunia na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ni kauli ya Kujiamini na ya Kijasiri Sana, amenikumbusha enzi za Shujaa 😃
Mungu wa...
Profesa Assad akihojiwa, amesema kuwa katiba mpya ni jambo la muhimu sana
Akasema somo tulilolipata katika utawala uliopita limetuonyesha umuhimu wa kuwa na katiba nzuri.
Profesa Assad amemuambia...
Muswada wa Fedha(Finance Bill) ikishapitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais wa JMT inakuwa Sheria.
Kwahiyo kila Matumizi yatakayofanywa yanakuwa ni Kwa mujibu wa sheria na ndivyo ilivyokuwa hadi...
Wakuu,
Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha.
Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na...
Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto..
Matokeo yake nchi sasa...
Wakuu salam,
Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili.
Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika!
Je, nini kimetokea...
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan...
Wanawaza kupora uchaguzi tu siyo tena Maendeleo na ustawi wa wananchi. Bungeni ni janjajanja tu kutunga sheria ovu 🚮🚮
Kodi unalipa mwenyewe lakini uzalendo upangiwe na serikali
Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam!
Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi.
Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili...
Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh...
Wakulima na wafugaji ndiyo wanatulisha watanzania wote. Mkulima na mfugaji ndiyo uti wa mgongo wa taifa letu.
Tulimsikia waziri wa fedha ambaye ni mchumi wa kiwango cha PhD, katika hotuba yake ya...
Wafanyabiashara wanaandamana kwa kufunga maduka nchi nzima.
Kodi hazieleweki.
Madeni ya nchi yanazidi kupanda.
Viongozi matumizi yako juu sana, ma VX hadi kwa watoto wao.
Nyie wanyaturu vipi lakini?
Nimemsikia Mwigulu anasema kwa kujigamba kwamba benki ya dunia inafanya tathimini sasa kama bado tunastahili kuitwa nchi masikini.
Hivi ni kweli Mwigulu afahamu hali halisi ya maisha ya Watanzania...
Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine.
Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli?
Sukari bei juu, kodi ya pango juu...
Kila siku demokrasia inazidi kujithibitisha kama mfumo wa hovyo sana na haufai kutumika kama mfumo wa utawala.
Zamani nchi zilipoongozwa na wafalme nchi ilikuwa ni mali ya mfalme na vizazi vyake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.