Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,504
113,619
Wanabodi,

Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!

Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.

Huyu ni Mheshimiwa Salma Kikwete, former 1st Lady na Mbunge wa Bunge la JMT.

Mama Salma yuko hapa Bujumbura kuhudhuria Kongamano la siku 3 la Kimataifa la ma 1st Ladies wa Africa kujadili Afya ya Mama, mtoto na kijana balehe, linalofanyika katika jiji la Bujumbura.

Wanaokuta hapa ni ma 1st lady, nilipojiuliza kwanini Tanzania aje former 1st lady?!, ndipo nikagundua kumbe nchi inapotawaliwa na rais mwanamke, post ya 1st Lady inakuwa haipo!, na kwa vile hii ndio mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na rais mwanamke, the role of 1st gentlemen is not defined!

Kufuatia nchi kutokuwa na 1st lady, mialiko yote ya fast lady sasa inakwenda kwa former 1st lady na kiukweli Salma Kikwete alivyo mtu wa mashamsham, ameuchangamsha sana huu mkutano na amemwaga nondo za kufa mtu!

This is a wake up call kwa serikali yetu kuintroduce post ya 2nd Lady na awe ni mke wa VP na 3rd Lady mke wa PM, ili ikija mialiko ya 1st lady kama hayupo tumpeleke 2nd lady or 3rd lady! Its a loss kwa nchi kutokuwa na 1st lady, na sasa ni muda muafaka the role of 1st Gentleman iwe defined na aanze kuonekanika!

Tena tutengeneze an Africa Protocal of first lady akitokea rais ana wake wawili, wake wote wawili watambuliwe kama 1st lady 1 na 1st lady 2, 3, 4 na kuendelea na sio kumtambua mke mmoja tuu ndie anabeba title ya 1st lady halafu wake wengine wote ni nobodies!, huku ni kuwabagua!

Maadam nchi yetu inatambua ndoa za wake wengi, then akotokea rais mwenye mke zaidi ya mmoja, wake zake wote wawili watambuliwe!

Pale mikocheni kulutokea raia mmoja wa Sweeden tajiri, akiishi Mikocheni B, akachenguka na mwanamke mmoja wa Kizaramo akaoa, baadaye akukutana na Tanga line, akakuta ni zaidi ya Mzaramo, akaoa, akawa na wake wawili. Mke mkubwa akamzalia watoto 4, mke mdogo watoto wawili.

Wakati nikishi Stockholm , Sweden, huyu jirani akaamua kurejea nyumbani Sweden, akabeba wake zake wawili na wanae 6 kurejea kwao. Kufika Airport, akazuiliwa kuingia nchini kwake na wake wawili kwasababu katiba ya Sweden inatambua ndoa ya mke mmoja tu. Hiyo aruhusiwe kuingia Sweden lazima atoe talaka kwa mke mmoja na kudeclare ni mistress, hivyo aliitwa mwanasheria, ikaandikwa talaka, declaration ya mistress ikaandikwa baba akalazimika kumdeclare mke mdogo kimada ndio akaruhusiwa kuingia. Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!. Huu ni muendelezo wa colonial legacy!.

Sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha yetu ya Kiafrika, ya Kitanzania!.

Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.

Paskali
 
Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!.

Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.

Huyu ni Mheshimiwa Salma Kikwete, former 1st Lady na Mbunge wa Bunge la JMT.

Mama Salma yuko hapa Bujumbura kuhudhuria Kongamano la siku 3 la Kimataifa la ma 1st Ladies wa Africa kujadili Afya ya Mama, mtoto na kijana balehe, linalofanyika katika jiji la Bujumbura.

Wanaokuta hapa ni ma 1st lady, nilipojiuliza kwanini Tanzania aje former 1st lady?!, ndipo nikagundua kumbe nchi inapotawaliwa na rais mwanamke, post ya 1st Lady inakuwa haipo!, na kwa vile hii ndio mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na rais mwanamke, the role of 1st gentlemen is not defined!.

Kufuatia nchi kutokuwa na 1st lady, mialiko yote ya fast lady sasa inakwenda kwa former 1st lady na kiukweli Salma Kikwete alivyo mtu wa mashamsham, ameuchangamsha sana huu mkutano na amemwaga nondo za kufa mtu!.

This is a wake up call kwa serikali yetu kuintroduce post ya 2nd Lady na awe ni mke wa VP na 3rd Lady mke wa PM, ili ikija mialiko ya 1st lady kama hayupo tumpeleke 2nd lady or 3rd lady!. Its a loss kwa nchi kutokuwa na 1st lady, na sasa ni muda muafaka the role of 1st Gentleman iwe defined na aanze kuonekanika!.

Tena tutengeneze an Africa Protocal of first lady akitokea rais ana wake wawili, wake wote wawili watambuliwe kama 1st lady 1 na 1st lady 2, 3, 4 na kuendelea na sio kumtambua mke mmoja tuu ndie anabeba title ya 1st lady halafu wake wengine wote ni nobodies!, huku ni kuwabagua!.

Maadam nchi yetu inatambua ndoa za wake wengi, then akotokea rais mwenye mke zaidi ya mmoja, wake zake wote wawili watambuliwe!.

Pale mikocheni kulutokea raia mmoja wa Sweeden tajiri, akiishi Mikocheni B, akachenguka na mwanamke mmoja wa Kizaramo akaoa, baadaye akukutana na Tanga line, akakuta ni zaidi ya Mzaramo, akaoa, akawa na wake wawili. Mke mkubwa akamzalia watoto 4, mke mdogo watoto wawili.

Wakati nikishi Stockholm , Sweden, huyu jirani akaamua kurejea nyumbani Sweden, akabeba wake zake wawili na wanae 6 kurejea kwao. Kufika Airport, akazuiliwa kuingia nchini kwake na wake wawili kwasababu katiba ya Sweden inatambua ndoa ya mke mmoja tuu. Hiyo aruhusiwe kuingia Sweden lazima atoe talaka kwa mke mmoja na kudeclare ni mistress, hivyo aliitwa mwanasheria, ikaandikwa talaka, declaration ya mistress ikaandikwa baba akalazimika kumdeclare mke mdogo kimada ndio akaruhusiwa kuingia. Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!.

Sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha yetu.

Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.

Paskali
Incoming First Lady 2030 ameanza kufanya kazi vizuri kabisa
Screenshot_20221010_211313.jpg
 
Kwanini hakuja first gentleman. Ki protocol anazuiwa? Maana ni ukweli kuwa kwenye huo mkutanao hata wanaume walikuwepo kwa majukumu tofauti tofauti, maana walikuwa hawamuogeshi mwali.

Nadhani next time our Tz Gentleman aje.
Nawasilisha
C.c Mwanakijiji
Gentamycin
Wazee wa protocol
 
Kama cheo cha 1st lady kingebainishwa kisheria na ingekuwa wazi kama seating 1st lady hayupo kwa kuwa na majukumu mengine au kama sasa tuna 1st 'gent'; ilitakiwa mualiko apewe seating 2nd lady.

Bila shaka tuna first family na second family kwenye security protocols ila kwa masuala ya kijamii iko haja wakatambuliwa kisheria.
 
Back
Top Bottom