Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Bashnet Dongobesh

Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Bashnet Dongobesh

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,814
Reaction score
284,943
Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.

Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu dhiki za nchi hii hazikuletwa na Mungu, zimeletwa na CCM, na ifike mahali tuseme basi.

Screenshot_2024-06-26-17-34-48-1.png
Screenshot_2024-06-26-17-37-28-2.png
Screenshot_2024-06-26-17-37-52-1.png
 
Huduma za afya kwa wote zitawafikia very soon, baada ya kutoka arusha! /huduma hizo ni za bure, kwa upendo tu wa serekali ya ccm.
 
Ukihutubiwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.

Katika Mkutano huo Mbowe amesisitiza kwamba muda wa kuing'oa ccm Madarakani ni sasa na wala hakutakuwa na Dk za Nyongeza, Hii ni kwasababu dhiki za nchi hii hazikuletwa na Mungu, zimeletwa na CCM, na ifike mahali tuseme basi.

View attachment 3026815View attachment 3026816View attachment 3026817
Bado hawana mikakati kwa watu wa vijini. Vijiji vya vingi bado ni CCM kwani wameridhika kuwa maisha ya kijijini ni maisha ya kimaskini. Shule inaweza isifaulishe hata miaka kumi wala wenyewe wala hawaumii tena ndiyo wanafurahi kwa kupunguziwa gharama za kumsomesha mtoto secondary. Watanzania Bado sana.
 
Back
Top Bottom