Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea...
4 Reactions
4 Replies
924 Views
Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako" Askofu Dr Malasusa amesema hayo...
3 Reactions
8 Replies
707 Views
Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni...
22 Reactions
144 Replies
9K Views
MBUNGE ESTHER MALLEKO AZUNGUMZA NA WANAWAKE WA MOSHI MJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko tarehe 26 Julai, 2024 amefanya Ziara katika Wilaya ya Moshi Mjini...
0 Reactions
1 Replies
416 Views
MBUNGE CHRISTINA MNZAVA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA WILAYANI KAHAMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Christopher Mnzava ameshiriki katika...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya...
15 Reactions
100 Replies
11K Views
Leo Machi 12, 2022 Wakili wa Kampuni ya GSM, Alex Mgongolwa amefanya mkutano na Waandishi wa habari kuanzia saa 6 kamili Mchana, GSM HQ Salamander Tower Samora Avenue. ==== Kilichojiri, full...
17 Reactions
214 Replies
25K Views
Msigwa tangu ahame CHADEMA na kukimbilia CCM amekuwa akitoa sababu za kitoto sana za yeye kuhama chama(CHADEMA) na kuhamia CCM. Zaidi sana amekuwa akimtuhumu Mwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe kwa...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu. Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na...
3 Reactions
13 Replies
989 Views
Ama kweli Mambo haya yanachanganya sana, Mwenye kujua atufahamishe. Hakika mwaka wa Uchaguzi una mambo!
3 Reactions
9 Replies
360 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa...
1 Reactions
2 Replies
987 Views
Natoa tu angalizo tunapouendea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na ule Uchaguzi mkuu wa mwakani Jiepushe kabisa kutumia Waganga wa Kienyeji, Wachawi na Rushwa kwani hao ni maajenti wa...
1 Reactions
8 Replies
434 Views
Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza. Na umeacha alama...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakati Shujaa Magufuli anachukua Wabunge wa Chadema akina Dr Mollel, Waitara, Gekuli, Silinde na Katambi na kuwapa Uwaziri kadhalika Viongozi wa ACT Wazalendo Anna na Prof Kitila wengi walidhani...
0 Reactions
4 Replies
380 Views
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni...
1 Reactions
5 Replies
808 Views
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo...
66 Reactions
803 Replies
133K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi...
1 Reactions
3 Replies
896 Views
Back
Top Bottom