Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha...
0 Reactions
2 Replies
374 Views
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua...
27 Reactions
154 Replies
9K Views
Katikati situation aliyonayo anapaswa kutulia sana na kwenye baadhi ya maamuzi anapaswa kutafakari kwa muda kabla hajaongea. Matamshi ni kama kama risasi hayana rivasi, yakitoka yametoka...
67 Reactions
183 Replies
11K Views
Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli. Ccm hawawapendi wasema ukweli. Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata...
2 Reactions
16 Replies
790 Views
Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia. Hamisho za wakuu wa shulni za hivi...
1 Reactions
16 Replies
848 Views
Ujasiri aliyo onesha ni wakupigiwa mfano. Lile Gari ni kwaajili ya Waziri na si vinginevyo hivyo baada ya utumbuzi ilitakiwa alikimbize parking sio kubeba mtu ambaye hana cheo chochote wizarani...
36 Reactions
53 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ambaye Wachambuzi wanamueleza kama ndiye bingwa wa siasa za Kisasa kwenye Ukanda wa eneo la Maziwa Makuu, Anashangaza sana! Pamoja na kushambuliwa...
10 Reactions
76 Replies
2K Views
Mwanahabari mkongwe na mbunge na mkuu wa Wilaya Mstaafu Mh. Jenelari Ulimwengu anasema tishio la watu kulishana Sumu limekuwa kubwa nchini. Jenelari anesema Wanasiasa wa nchi hii wanazidi...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM...
12 Reactions
160 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini-Chadema Aida Kenan amempongeza Rais Samia Kwa jitihada zake za kuleta maendeleo. Mbele ya maelfu ya Wananchi Mbunge alijinadi na kumsifia Rais Samia sambamba na...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter ==== Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Kiufundi unaweza ukasema ni mawaziri watano. Lakini pia ukisema ni mawaziri wanne napo utakuwa hujakosea maana kuna huyo mmoja alirithiwa na baadaye kidogo ndo akabadilishwa. Ni hii wizara ya...
6 Reactions
16 Replies
977 Views
Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo...
3 Reactions
18 Replies
942 Views
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala. Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na...
3 Reactions
30 Replies
982 Views
Akiongea mbele ya Rais Samia Ikulu leo July 26, 2024 wakati wa uapisho wa viongozi walioteuliwa Makamu wa Rais Philip Mpango amesema; Pia soma: Rais Samia: Cheo ni sawa na nguo ya kuazima ambayo...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiniuliza kwa nini muziki wa Reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu, dunia ya sasa hivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi. Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi, sasa kama...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni Maneno ya Nabii Nicolaus Suguye akiwa kanisani Kwake akiendesha Huduma ya Ibada. Nabii huyo ambaye anaendesha Kanisa la WRM- Word of Reconciliation Ministries lililoko Kivule Matembele ya Pili...
7 Reactions
79 Replies
4K Views
Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta...
4 Reactions
4 Replies
711 Views
Back
Top Bottom