Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ni mwaka 2004/2005 waziri mwenye mamlaka alibadilisha mtaala ambapo moja ya vitu vya hovyo vitakavyobaki kama simulizi za muda mrefu ni kuunganisha somo la...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri, wakazi wa Kawawa Road na vitongoji vyake tunapitia changamoto kubwa sana ya kupata maji. Pamoja na kuwa tupo chini ya mlima Kilimanjaro ambapo kuna vyanzo vingi vya maji lakini suala la...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo. Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000. Azam decoder hawana Ubora kuzidi...
29 Reactions
203 Replies
9K Views
Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena. Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri...
1 Reactions
7 Replies
584 Views
Natembea sana nje ya Tanzania. Natembea sana ndani ya Tanzania. Najua dunia inaenda wapi na inahitaji vitu gani kwa sasa! Kwa maeneo mengi ya nje ya Tanzania niliyotembelea, Tanzania inasemwa...
4 Reactions
13 Replies
645 Views
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao. Musiwapangie sawa na utamaduni wenu. Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais. Yaani...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
24 July 2024 ACT Wazalendo Yaeleza Sababu za Umasikini Mkoa wa Simiyu https://m.youtube.com/watch?v=gfWTg6cmpUc Katibu Mkuu ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ameyasema haya akiwa Jimbo la Busega...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Rais Ruto amesema amesikia kilio cha vijana wa Gen Z na sasa atapunguza mishahara na posho za watumishi wa Umma Kwa 35% Pili Siasa za Makanisani na kwenye misiba tumepiga Marufuku, amesisitiza mh...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa...
8 Reactions
123 Replies
14K Views
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema 1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Hii katiba iliyopo ni shamba, ni mradi kuna watu wanaifurahia wao na vizazi vyao, wao na rafiki zao, wao na washikaji zao, kwa hiyo wasingependa kuiona ikibadilika kwa sababu ndiyo shamba lao...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Habarini Wadau, Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili. Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko...
3 Reactions
448 Replies
70K Views
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa...
2 Reactions
17 Replies
911 Views
Kwa nini kujitolea kwa niaba ya Rais? - Kwa sababu nchi ipo chini ya Rais. Rais ni mwakilishi wa wananchi wote bila kujali itikadi zao za kisiasa wala imani zao za kidini. Ndio maana hata...
1 Reactions
31 Replies
943 Views
27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea...
4 Reactions
4 Replies
924 Views
Baba Askofu Dr Malasusa amesema Yesu Kristo hakutumia nguvu kumshusha Zakayo bali alitumia Neno la Mungu wa Mbinguni " Zakayo Leo wokovu umefika nyumbani mwako" Askofu Dr Malasusa amesema hayo...
3 Reactions
8 Replies
707 Views
Back
Top Bottom