Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana. Sababu zinazotajwa ni kutokana na...
23 Reactions
75 Replies
7K Views
Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema...
0 Reactions
2 Replies
682 Views
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania ina majukumu muhimu katika usimamizi na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Majukumu yake ni pamoja na: Utoaji wa Mikopo...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all...
59 Reactions
403 Replies
52K Views
Wengi wanaoteliwa na Rais, ndio mfumo tulionao. Hiki kitu siyo kibaya, tatizo linalotokea ni watu kufanya kazi kwa uoga na hofu. Anaamka asubuhi anakwenda ofisini hajui jioni kama atakuwa ana hiyo...
1 Reactions
1 Replies
366 Views
Rais Samia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku sita mkoani Morogoro mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu. Akitoa taarifa ya ziara ya Rais Samia, Mkuu wa Mkoa wa...
1 Reactions
4 Replies
877 Views
Kupitia kada wake mwandamizi ndugu Ntobi, CHADEMA imewakaribisha wanaCCM waliotumbuliwa kujiunga na chama chao wapige kazi. ========= Kupitia ukurasa wake wa X (Zamani Twitter) kada huyo wa...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed...
8 Reactions
45 Replies
8K Views
Namba hazidanganyi hata kama akishinda kwa halali bado sifa yake ya kuwa mwanachama wa chama cha mapinduzi inaonekana kama imemchafua. Siku hizi ukiwa kijana na ukawa mwanaccm jamii na vijana...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rev. John E. Kimario Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Ingawa mimi si mwana-CCM au mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania, tangu utoto wangu nimekuwa nikifutilia siasa. Nikiwa na zaidi ya miaka 40 hapa duniani, nimekuwa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
26 February 2024 PROF. JUMA - HAKI SIO USHINDI, BALI NI USHAHIDI ULIOLETWA MAHAKAMANI UKAWEKWA KATIKA MIZANI https://m.youtube.com/watch?v=STdxA1gIJ7c Video courtesy of millard ayo Na Mary Gwera...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
NB: Naomba hii mada ijadiliwe na watu wenye uelewa sio kila mada ina mrengo wa utani na masihara. Kama huna hoja ukae kimya ujifunze. Wadau nimeona katika teuzi za leo Bw. Daniel Chongolo former...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke. Pia soma Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli Zuhura Yunus...
6 Reactions
106 Replies
9K Views
Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa. Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama...
18 Reactions
196 Replies
24K Views
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya ...
14 Reactions
77 Replies
5K Views
Back
Top Bottom