Hivi Majukumu ya Serikali ni yapi hasa?

Hivi Majukumu ya Serikali ni yapi hasa?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,415
Reaction score
286,605
Ama kweli Mambo haya yanachanganya sana, Mwenye kujua atufahamishe.

Screenshot_2024-07-27-13-29-08-1.png
Screenshot_2024-07-27-13-29-13-1.png

Hakika mwaka wa Uchaguzi una mambo!
 
Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira

Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA

Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi 😄😄
 
Ridhiwani kaambiwa akahakikishe Vijana WANAPATA Ajira hajaambiwa AKATENGENEZE Ajira

Katika hizi Ajira zilizopo ahakikishe Vijana WANAPATA

Ajira zinatengenezwa na MIFUMO ya Kiuchumi 😄😄
Kwani Riziwan siyo ofisa wa serikali?
 
Back
Top Bottom