Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa yake hii hapa === “Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa...
21 Reactions
126 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa UVCCM mh Jokate amesema Bodaboda Ndio Injini ya Ukuaji Uchumi wa taifa letu Ndio Sababu Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia Inawapenda, amesisitiza Boss huyo wa UVCCM --- Katibu...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Watanzania mkiambiwa katiba mpya inatakiwa ikiwemo kifungu cha raia binafsi kumiliki ardhi badala ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuvishwa joho la kifalme / malkia kuwa ni mdhamini wa...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa...
1 Reactions
5 Replies
530 Views
Nampongeza Mhe. Rais kwa kuunda kamati ya kufanya mapitio ya mfumo wa kodi nchini. Natambua wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda, migodi na maeneo mengine ya uwekezaji watakuwa respondent...
2 Reactions
2 Replies
401 Views
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya...
2 Reactions
10 Replies
892 Views
Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi...
1 Reactions
0 Replies
573 Views
Kuna hii ‘narrative’ inayoendelea sasa hivi kuwa Rais Samia anashauriwa vibaya. Kila jambo linaloonekana kwenda mrama, lawama wanapewa hao washauri wake! Yeye hakosei [kwa maneno yake mwenyewe...
36 Reactions
129 Replies
13K Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo amefika kijiji cha Ndala Kata ya Kandete ikiwa ni muendelezo wa ziara ya kijiji kwa kijiji anayoifanya Jimboni. Akiwa Kijiji cha Ndala Mheshimiwa Mbunge amepokea kero...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Kusema ukweli kama unafikiria kiuchumi na kimkakati huwezi fanya maamuzi ya kuchagua vipaombele kama hivyo ambavyo Kwa maoni yangu ni vipaombele vya hovyo kabisa. Kwamba Tumetukia Trilioni 3.6...
12 Reactions
125 Replies
6K Views
Wenye nyumba maeneo ya Masaki/Mikocheni n k wengi bado wanashinikiza malipo ya Dola (US $) Wakati nchi haina udhibiti tena wa sarafu hii. Bei ya Dola inazidi kupanda na haitabiliki kesho itakuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanueli Nchimbi Ametua kusini Rasmi kuanza na kuendelea na ziara yake ya kichama kama ambavyo niliwajuzeni humu jukwaani. Ambapo ameambatana na...
3 Reactions
101 Replies
5K Views
Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu...
6 Reactions
74 Replies
3K Views
Habairini za kazi ndugu Watanzania, Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025...
3 Reactions
4 Replies
465 Views
CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani. Ushauri kama Upinzani...
2 Reactions
17 Replies
963 Views
Chuo hiki kina migogoro mikubwa ya ardhi na wananchi, ni lazima sasa ifanyiwe kazi, mkoa utulie, kila mahala SUA ilipo karibu kuna mgogoro, sasa Wizara ya Elimu, Ardhi, wapige kambi hapo...
2 Reactions
5 Replies
629 Views
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini? Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom