HONGERA MWABUKUSI
1. Mshindani wake alikuwa mtu wa CCM. Nilitegemea kuwa kwa MAOVU ya CCM kwa watanganyika, margin ya kura ingelikuwa kubwa sana "kupindukia" kuionesha CCM kuwa haipendwi. Margin...
Nimemsikia Rais Samia Jana, wakati akihutubia wakazi wa Mtibwa -Morogoro, akiwa katika ziara Mkoani humo, akiwatahadharisha wateule wake, hususani walioko Kwenye wizara ya kilimo kuwa chakula ni...
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa...
Kushukuru ni kuomba tena , hongera bwana Mbunge Kwa uungwana .
My Take
Mama amewafuta machozi
=====
Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu...
Salaam, Shalom!!
Ulipokuwa mbunge kabla ya kupewa Uwaziri ulionekana kama mzalendo wa Kweli Kwa HOJA ulizojenga!!
Ulimaanisha nini?
1. Kwamba, mpunga unaweza kuwa mbadala wa sukari?
2. Kwamba...
Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.
Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais...
Tozo zinawekwa na Halmashauri husikabako bwana Mbunge ni Diwani lakini anakuja kumlilia Rais.
=====
WANANCHI WALIA NA TOZO ZA MAZAO KILOMBERO
Wananchi wa Jimbo la Kilombero kwa kupitia mbunge...
TAARIFA KWA UMMA
Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23...
Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104.
Lissu ameandika...
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu...
Leo nina machache ya kusema kuhusu Rais Samia na wale wachache waliodhani mwanamke kutoka Zanzibar hataweza.
🔴Walisema demokrasia itazidi kudidimia na kufa kabisa.
✅Leo uhuru wa vyombo vya...
Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu.
Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya...
Ukiona mkaa mjini ujue miti mingi imeteketezwa. Ukiona minong'ono imezidi ujue kuna jambo halijakaa vizuri na usipokuwa tayari kuziba ufa andaa bajeti ya kujenga ukuta. Missenyi ina shida nyingi...
Nilikuwa najiuliza Kwa nini Jamaa ana tabia za kuhisi kuonewa mda wote, kukosa utulivu na kurupuka mara kwa mara vitu ambavyo havifanani na Mawakili wenzie wasomi vinatoka wapi?
Kumbe jibu liko...
Diwani ni Kiongozi wa ngazi ya Serikali za Mitaa,iweje awe sehemu ya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge ambao wanawakilisha ngazi ya Taifa?
Madiwani ni kama Wabunge wa ngazi za Mamlaka ya Serikali...
Koplo Ali Mzee ni askari wa mizinga wa Jwtz aliyetungua ndege za wakoloni wa Kireno waliokuwa Msumbiji.
Koplo Mzee alipoteza maisha ktk Mapigano yaliyotokea mpakani na Msumbiji ktk kijiji cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa David Kafulila Ameamsha hisia, kuwagusa waheshimiwa wabunge na kuwarejesha mbali sana kihisia. Chuma Kafulila kaliteka Bunge, kalitetemesha na kalitikisa...
Habari kutoka serikali kufuatana na taarifa za leo serikali kwa sasa inawekeza mabillioni ya shilingi kuimarisha bandari ya Mtwara. Shughuli zinazofanyika ni pamoja na kuongeza kina cha maji...
Nimefatilia kwa undani sana huu mdahalo wa TLS election candidates, na namfahamu sana nkuba na bwana boniface mwabukusi.
Nkuba ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hata akishindwa TLS, huyu bwana...
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.