Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,186
- 2,596
CCM wakiongozwa na Mwenyekiti Mama Samia wameanza kukonga mioyo ya wafuasi wa hayati Magufuli kundi ambalo ni kundi kubwa kuliko yote ndani ya CCM na nje ya CCM - mitaani.
Ushauri kama Upinzani tunataka beba Nchi kitu ambacho kwa 2025 kina wezekana wazalendo wote kina Tundu Lissu, Mdude, Mwabukusi, Mbatia, Heche, Mnyika, Slaa na wengine wengi tuunge Nguvu pale NCCR mageuzi au Chama kipya hili litafanikiwa.
Sijataja CHADEMA sababu chama kama hakijawahi kuwa serious kuchukua dola na ikiachwa iende hivi ya 2005 yatajirudia, CCM itashinda kirahisi sana.
Siku njema.