Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=4HHkidL6KiM
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Mbunge wa Same Mashariki Anne Malecela akichangia hoja kwenye bajeti ya 2026/27, ameomba serikali kuongeza posho za madiwani ili kuwawezesha kufanya kazi vizuri -- Bajeti ya serikali imepanda...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
Tumshukuru Magufuli kwa kutimiza kuhamisha makao makuu ya Taifa Dodoma kufuatana na uamuzi wa baba wa taifa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Karibu Marais wote waliyofuata hasa waswahili wa pwani...
2 Reactions
14 Replies
351 Views
Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo. Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya...
1 Reactions
38 Replies
342 Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
Replies
Views
DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Rais Ndaitwah Aondoka Baada ya Kukamilisha Ziara ya Kitaifa ya Siku Tatu Nchini Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameondoka nchini baada ya kukamilisha Ziara ya...
1 Reactions
3 Replies
130 Views
Yaani Tanzania ndo Basi tena.. Tulizoea Shule zetu zilikuwa zinapewa Majina ya Watu waliofanyia Makubwa Tanzania na Afrika kwa Ujumla ili wakubukwe. Lakini sasa hivi watu wanajiamlia kutaja...
5 Reactions
45 Replies
884 Views
Kitendo Cha Wasouth Kuwafurusha Wageni kimetoa funzo kwamba Nguo ya kuazima Haisitiri matako. Tafuta pesa ugenini wekeza nyumbani My Take Unaweka mayai yote kwenye kapu Moja la kuazima unategemea...
1 Reactions
4 Replies
159 Views
Kweli dunia ina mambo. Na sasa ndio ukweli kuwa hakuna mbunge aliyechaguliwa kwa kura kwa uchaguzi ule uliofanyika kwa kumwaga damu. Yaani badala mbunge aende bungeni kuomba serikali ijenge...
1 Reactions
5 Replies
153 Views
Taratibu, ule, msimamo kuwa nchi haina dini ila watu wake wana dini unaanza kumomonyolewa tena na wale usiowategemea. Naona kama Zenj, taratibu, inaanza kuwa taifa la kiislam. Ni bahati mbaya na...
6 Reactions
155 Replies
3K Views
Labda Mimi ndio sielewi naomba nieleweshwe Yani Kwa mujibu wa serikali yetu TUNDU LISSU ni mtu Mbaya sana kuliko shehe mwaipopo? Kwa kauli hakustahili kukaa uraiani hata sekunde moja hii...
2 Reactions
1 Replies
125 Views
Baada ya kuhisi kwamba hoja zake zinaweza kufunikwa zaid na hoja nzuri sana za washindani genge la mheshimiwa Jakaya Kikwete, Lowassa na Samwel Sitta likaanza kuunda mtandao wa kuwamaliza...
32 Reactions
110 Replies
13K Views
Biashara siku zote ina ushindani Mfanyabiashara haupaswi kulalamika ( Musukumu+ Joshua Nasari kuwa jirani amefungua Duka ataathiri mauzo yako.. Uwanja wa ndege upo kwenye CCM manifesto...
0 Reactions
2 Replies
139 Views
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara uliofurika wananchi huko kilosa, Nabii wa Mungu God bless Lema, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, amemtaja Bwana Kabudi Kama miongoni mwa...
4 Reactions
15 Replies
246 Views
Katika kujibu hoja aloileta Mbunge kuwa Magufuli atake asitake tutamlazimisha kuongeza Muda, Naibu Spika wa Bunge amemalizia kwa kusema NADHANI TUNAJUA MSIMAMO WA RAIS UKOJE JUU YA HILO, HATAKI...
104 Reactions
245 Replies
25K Views
Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa suala la Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linaendelea kushughulikiwa na vyombo vya sheria bila kuingiliwa na mamlaka za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa...
3 Reactions
40 Replies
944 Views
CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi. MY TAKE Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza...
8 Reactions
23 Replies
637 Views
Ni Mkutano ambao umehudhuriwa na Watu wote wa Mbarali, wakiwemo Walimu na Polisi Shughuli zote zimesimama ikiwemo uvunaji wa Mpunga, Mashine za kukoboa mpunga zimezimwa huku hospitali zikibakiwa...
11 Reactions
12 Replies
370 Views
Back
Top Bottom