Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki...
5 Reactions
12 Replies
313 Views
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke! Naomba hili liwe reference kwa 2025!
43 Reactions
258 Replies
23K Views
Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake. CCM tunawajua...
18 Reactions
57 Replies
723 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini, wakiwemo Masheikh, Maaskofu, Wachungaji na Mapadri, kushirikiana na Serikali katika kulinda amani...
0 Reactions
22 Replies
232 Views
CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia. Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell! Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na...
15 Reactions
24 Replies
448 Views
Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara. Kwa kipindi hiki cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu, tumeshuhudia baadhi ya watendaji wa vijiji wakitumia zoezi la usajili wa anwani za makazi...
1 Reactions
2 Replies
118 Views
Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali...
5 Reactions
8 Replies
266 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi...
2 Reactions
35 Replies
649 Views
".....Sio lazima CHADEMA wakisema chochote tukubali. Tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea..tena yeye Tundu...
12 Reactions
28 Replies
664 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS), Mhe. Moussa...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
SIJUI ni ujinga au upumbavu uliokithiri lakini inachekesha sana kusikia kila siku CHADEMA wanaongelea mambo ya maridhiano kama vile yanawahusu wao tu na bila wao hakuna maridhiano. SIJUI nani...
2 Reactions
32 Replies
476 Views
Watu wengi ndani na nje ya nchi yetu,wasomi mbalimbali,Bunge la ulaya, viongozi wa kisasa kule marekani,na sasa jumuia ya madola,wote wameshauri Tundu Lissu atoke gerezani.wote wanajua kesi iko...
1 Reactions
0 Replies
74 Views
Leo (Nov 8. 2021) umetokea ubishi mahakamani kwamba akina Kibatala wamekataa document ya kumkamata mshitakiwa (seizure). Hoja ni kwamba sheria kwenyw document hiyo haipo hapo nchini. Kosa hilo...
55 Reactions
147 Replies
18K Views
"Na zao la haki litakuwa ni utulivu na matumaini daima". Hii inamaanisha kuwa matendo mema na ya kweli huzaa amani, utulivu, na maisha yenye matumaini. Kulingana na maandiko ya Isaya 32:17 kutoka...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Tundu Lissu akiwa mahakamani, amesikika akisema; "Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine!" Mwenendo wa Kesi ya Uhaini >> Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu...
18 Reactions
65 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno mazito na yenye kubeba uzalendo yaliyozungumzwa na Mheshimiwa waziri Mkuu wetu Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean siku ya Leo. Soma hapa...
0 Reactions
16 Replies
296 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo ya kweli ya Taifa yanategemea kujenga wananchi wenye maadili, uzalendo, uwajibikaji na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea...
1 Reactions
31 Replies
367 Views
Akizungumza Julai 20, 2026 kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa Tanzania ni taifa huru...
1 Reactions
14 Replies
292 Views
Nafatilia video mjomgeo zinazoruka kwenye mitandao zinazo mwonesha Tundu Lissu akiwa mahakama naona na Askari Magereza jinsi ya kike najiuliza wanafanya kwenye ulinzi wa Lissu? Uhuu UTAWALA wa...
3 Reactions
7 Replies
237 Views
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina...
11 Reactions
30 Replies
875 Views
Back
Top Bottom