Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu! Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana...
5 Reactions
8 Replies
817 Views
Akiongea Mkoani Mtwara leo amesema marufuku ya mikutano ya siasa iko pale plae, amesema kuwa yeye ameanza kupenda siasa toka akiwa darasa la 6 hajawahi kuona wala kusikia Mwenyekiti wa chama cha...
7 Reactions
102 Replies
11K Views
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono. Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za...
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Hata kipofu kwa kutumia milango ya fahamu iliyobaki anatambua CCM bila polisi hawawezi kushindana na CHADEMA. Kila mtanzania hata ccm wenyewe wameshatambua kabisa kuwa ccm haina chake tena nchi...
8 Reactions
7 Replies
143 Views
Leo Studio ‘Ukichimama Nchale, Ukikaa Nchale’ Ni Binduki za Kichwa tuuuuu anazimwaga ‘Komando’ Maneno yanasikika kuwa nitakuua mie, nitakuua mie huku akionesha kuelekeza 'binduki' vichwani kwa...
2 Reactions
8 Replies
265 Views
Alikuwa hakosoi Maria spaces na mchangiaji/ speaker mzuri and very critical! Anakaa Kimara Baruti na anatoka Musoma. Ni siku nyingi sasa haonekani.. Nina wasiwasi kama bado mzima maana alikuwa...
3 Reactions
11 Replies
289 Views
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Deus Kibamba, ameonya kuhusu kuongezeka kwa udhibiti wa vyombo vya habari na asasi za kiraia nchini, akisema hatua za kubana uhuru wa kujieleza na kuwazuia watu ni...
2 Reactions
4 Replies
169 Views
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete . Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza...
18 Reactions
69 Replies
6K Views
Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii...
9 Reactions
14 Replies
230 Views
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine. Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma...
4 Reactions
16 Replies
254 Views
Kwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi Huu upumbavu...
2 Reactions
31 Replies
394 Views
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Kwa kauli hizi za kukurupuka na kuamriwa na mtu mmoja au kikundi cha watu wachache pasipo kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, kama lolote halitatokea la kuuondoa utawala huu madarakani...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Wafuasi wa chadema mmeshasahau kuwa mlizungusha mikono nchi nzima lakini Leo hii hamna hata balozi wa nyumba 10, hiyo nafasi msahau hamtakaa mpate mbunge hata mmoja, siasa zenu za machafuko...
2 Reactions
27 Replies
340 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo...
1 Reactions
8 Replies
244 Views
Meritocracy society ni mfumo ambao watu hupata nafasi, madaraka, ajira, au mafanikio kutokana na uwezo, juhudi na vipaji, badala ya kutokana na familia wanayotoka, utajiri, ukabila, dini, au...
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Anonymous
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
5 Reactions
6 Replies
323 Views
Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote...
2 Reactions
40 Replies
362 Views
Back
Top Bottom