Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Deus Kibamba, ameonya kuhusu kuongezeka kwa udhibiti wa vyombo vya habari na asasi za kiraia nchini, akisema hatua za kubana uhuru wa kujieleza na kuwazuia watu ni...
2 Reactions
4 Replies
169 Views
Hii ni kauli ya kiungwana iliyotolewa na Mwenyekiti wa zamani wa ccm aliyekuwa pia Rais wa Tanzania , Jakaya Kikwete . Ilikuwa ni katika vikao vya chama chake , pale alipokuwa anawaelekeza...
18 Reactions
69 Replies
6K Views
Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii...
9 Reactions
14 Replies
230 Views
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na taarifa na mijadala mbalimbali kuhusu uwezekano wa matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yanayoweza kutokea tarehe 7 Julai. Ingawa ni muhimu kutokuwa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Najua kuna wengi wa machawa wako wanakusifia kwa kila aina ya uzuri, msikivu, mpenda watu, mwenya maono, chaguo la Mungu, kiumbe bora na mengine. Basi, kuonyesha ukweli wa sifa hizi waonee huruma...
4 Reactions
16 Replies
254 Views
Kwetu ni Kagera Ba mnyongote, kwetu ni Bukoba nataka niwambie hakuna msukuma,mchaga,au kabila lolote linaweza gombea hata UJUMBE wa nyumba kumi akaupata katika mkoa niliozaliwa Mimi Huu upumbavu...
2 Reactions
31 Replies
394 Views
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako. Nafasi...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Kwa kauli hizi za kukurupuka na kuamriwa na mtu mmoja au kikundi cha watu wachache pasipo kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, kama lolote halitatokea la kuuondoa utawala huu madarakani...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Wafuasi wa chadema mmeshasahau kuwa mlizungusha mikono nchi nzima lakini Leo hii hamna hata balozi wa nyumba 10, hiyo nafasi msahau hamtakaa mpate mbunge hata mmoja, siasa zenu za machafuko...
2 Reactions
27 Replies
340 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo...
1 Reactions
8 Replies
244 Views
Meritocracy society ni mfumo ambao watu hupata nafasi, madaraka, ajira, au mafanikio kutokana na uwezo, juhudi na vipaji, badala ya kutokana na familia wanayotoka, utajiri, ukabila, dini, au...
0 Reactions
2 Replies
111 Views
Anonymous
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
5 Reactions
6 Replies
323 Views
Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote...
2 Reactions
40 Replies
362 Views
Najiuliza hivi kweli hata kurekebisha matuta ya barabarani mpaka waliposikia Rais Samia anakuja Leo hapa MKOANI Kilimanjaro kata ya katanini,katikati ya ili gereza kuu la lukaranga na kata ya...
5 Reactions
21 Replies
406 Views
Rais Samia akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi baada ya kuzindua Jengo la Tiba Mionzi (Radiotherapy Unit) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Moshi mkoani...
1 Reactions
11 Replies
246 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Juni 20, 2026, ameweka msimamo mkali mkoani Ruvuma na kukitenga chama hicho na vuguvugu la maandamano yanayodaiwa...
5 Reactions
16 Replies
677 Views
Join #MariaXSpaces 📍 🇹🇿 Leo #MariaSpaces tunajadili: 7/7 Maandamano nchi nzima - tupo tayari au maneno tu? Maandamano yametangazwa na madai ni #FreeTunduLissu #Haki za #MO29, #KatibaMpya...
18 Reactions
78 Replies
1K Views
  • Redirect
Tuko tayari kwa maandamano. Tunahitaji tu yatangazwe kama ni 7/7 au kabla we are ready. Hii nchi haitakuwa ya CCM ya kufanya wanavyotaka
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom