Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka?
Waziri...
Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa...
Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa
Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani.
Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme...
Kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi kwa IGP Camillus Wambura kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, Mwanasheria wa kujitegemea, Jebra Kambole amesema agizo hilo...
Jeshi la polisi Tanzania, mmemsikia waziri mkuu,snadai Kuna mtu kakamatwa na mabomu, JE nyinyi mdo mlimkamata? Mbona mpo kimnya? Mtajeni tumjue huyo ni adui wa Taifa letu sote kama kweli kakamatwa...
Moja ya kitu siwezi kukisaau ni KAULI za hayati Magufuli enzi za maradhi ya korona hakika zilizuia taharuki kubwa sana kwa wananchi,
Wapo walio KAIDI ushauri wao na kwakweli waliondoka na korona...
Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
Tufike pahala tuelezane ukweli Katambi na wenzake tuna kila sababu za kuwapuuza kama kweli tunaitaka nchi yetu iendelee.
Wewe unazuia mikutano ya HADHARA ukiwa bungeni,hiyo hatari uliyoiona...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kumetokea hitilafu katika gridi ya taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayohudumiwa na gridi kukosa umeme, na kwamba inaendelea na jitihada za...
https://www.youtube.com/live/h3i8-aVhzGA
https://www.youtube.com/watch?v=G7NseGbdVVM
Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya...
Je, Hivi Ndivyo Wafanyakazi Wanavyopaswa Kuishi?
Malalamiko Mazito Kuhusu Mazingira ya Kazi Katika Kiwanda cha Fortune Paper
Kuna haja mamlaka husika nchini Tanzania kuangalia kwa karibu mazingira...
Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi...
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa...
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika...
Wadau wa sheria nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuitafuta hii hukumu na kuileata mbele yenu ili tuijadili. Nimefanikiwa kuipata na naomba tuisome kwa kina halfu tuijadili. Ni ndefu ni kama...
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa
Alisema akina Tesha cjui...
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!.
Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako...