Kuna jamaa mmoja mwenye jina la kike anapigia kampeni CCM! Naona kazidiwa hoja🤦🏾♂️🤦🏾♂️
Polisi nao wameshindwa kuidhibiti CHADEMA na sasa wanaomba Msaada Kwa mwaipopo awasaidie yaani pamoja kuteka,kuuwa,kesi za uongo lkn bado Hali imekuwa ngumu kwaoccm Kwa sasa hawana mvuto kabisa Kwa sababu ya siasa zake za kutegemea Polisi na kuacha kushughulika matatizo ya wananchi.
Mimi mawazo yangu nawaza ingeitwa kampeni ya Dada jambazi huenda ingenoga kwani kwao wanaamini katika mrengo huo ufisadi utekaji uporaji rasilimali na uporaji chafuzi na upendeleo wa kiitikadi umepamba moto.Kama alijileta kinaa lazima aangukie pua ila angepita mrengo huo uungwaji mkono wa wala kwa urefu wakamba usinge kosekana!Kuna jamaa mmoja mwenye jina la kike anapigia kampeni CCM! Naona kazidiwa hoja🤦🏾♂️🤦🏾♂️