Kutegemea Polisi kumedumaza CCM imebaki na wezi tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,585
Reaction score
14,903
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.

Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
 
Kumefanya ccm isiwe creative , wamerudi nyuma na kuacha vyombo vya ulinzi na usalama viwabebe matokeo yake upinzani wanapeta
 
Agiza bia na mbuzi nusu.Tutapeleka moto mpaka CCM wakome
 
Hili ndio swali ninalojiuliza kila siku kwa wale viongozi wanaojifanya kuchukizwa na mambo yanayofanywa na serikali wakati na wao ni wanachama lia lia wa mboga mboga na wapo kwaajili ya kutimiza ilani yao, kama kweli wanachukizwa ni kipi kinachozuia wao kutoka kwenye kundi la wauaji na wanyonyaji wa rasilimali zetu?
 
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.

Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
CCM ilishakufa umebaki mzuka tu.
 
Ukweli ni kwamba huwezi kubaki ccm kama haupo kimaslahi, ccm Kila siku uzalendo, uzalendo ila wao ndio mafisadi papa na wezi wakubwa wapo kimaslahi zaidi, wengine wapo kulinda biashara zao.
 
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika
Maneno machache yenye hekikama. Ubarikiwe sana..

Umeachia kazi wasomaji wajitafakari walipo
 
Mama yao chama kinamfia mikononi🤣🤣🤣🤣🤣
Raha iliyoje hii.
 
CCM wanatia huruma mno angalia hii ziara ya heche inavyowakondesha hawa viazi ....wale wajinga wao akina happy ni wepesi Sana vitani
 
Ukweli ni kwamba huwezi kubaki ccm kama haupo kimaslahi, ccm Kila siku uzalendo, uzalendo ila wao ndio mafisadi papa na wezi wakubwa wapo kimaslahi zaidi, wengine wapo kulinda biashara zao.
Umeandika ukweli mtupu.
 
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo maana mnaona hakuna kelele za
Utekaji, ufisadi , kukiuka katiba wala rushwa.

Tushukuru Mungu sana tuna Chadema. Na wana viongozi genius
Waungwe mkono kwa kila hatua na kila hali vi ginevyo taifa litauzwa mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom