Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
562
Reaction score
1,148
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
 
1782233643582.png
 
Moja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?
Bora hata CDF angekuwa mtu wa Mara tungeweza kuwaza mengine
 
Ila ukweli Kimambi ni mzalendo, anashindwa tu afanyeje.
 
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
No regrets! Wewe umewahi kuona wapi war strategist akiwaambia wapiganaji wake, “adui yetu amejipanga kuliko sisi, atatushinda mapema asubuhi”?

Hata Kinjekitike aliwaambia wapiganaji wake kwamba risasi za Mzungu zingegeuka kuwa maji.

Morale pumping (boosting) ni component muhimu sana ya war strategy!
 
Moja ya kitu niliamini Tanzania ina wajinga wengi ni pale walipoamini eti jeshi litawasaidia. Yaani jeshi la nkunda lisaidie wananchi, nkunda huyu huyu wa Kilosa au Nkunda mwingine?
Bora hata CDF angekuwa mtu wa Mara tungeweza kuwaza mengine
Na wewe kuamini cdf angekua wa Mara basi palikua na uwezekano unaingia kwenye kundi hilohilo,jeshi ni complex organization,halitegemei cdf tu
 
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
What are you trying to establish? Mange ni next level! Humuwezi. Nenda CCM watakusikiliza siyo hapa
 
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa

Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump kwani Trump hajali na anawasihi watu waandamane tena wakati anajua Dunia yote hawajali watu weusi kuua watu weusi na hii serikali kila mtu ameona.

Je mnaamini Mange Katuingiza mjini au?
ccm wametuingiza mkenge mara nyingi zaidi.
Muhimu kwa sasa ni kila Mtanganyika apate hamasa kuamka na kuikomboa nchi yake
 
Back
Top Bottom