Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Devils Advocate, Jun 17, 2010.

 1. Devils Advocate

  Devils Advocate Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau wa sheria nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuitafuta hii hukumu na kuileata mbele yenu ili tuijadili. Nimefanikiwa kuipata na naomba tuisome kwa kina halfu tuijadili. Ni ndefu ni kama kurasa 51 lakini nafikiri its worth reading the whole document.

  Nimeiatach.
   

  Attached Files:

 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jun 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Asante ndugu, ubarikiwe sana!
   
 3. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Shukrani kwa jitihada!
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jun 17, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ni AG vs Mtikila na sio Mtikila vs AG!
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nimeisoma hukumu yote..

  Juu ya :
  Mahakama ya Rufaa imeamua:

  - Serikali imepoteza hoja ya 1

  Hoja ya pili ya rufaa;

  mahakama ya rufani:

  Katika hoja ya pili serikali imeshindwa! -

  Katika hoja ya tatu ya rufaa iliyoletwa na serikali inadai:

  Mahakama ya Rufani imeamua:

  Hoja ya tatu ya rufaa, serikali imepoteza vile vile!!

  hoja ya nne ya Rufaa ilikuwa hivi:

  Mahakama ya rufani imeamua:

  Hoja ya nne nayo serikali imepoteza

  Hadi sasa Mtikila 4-0

  Hoja kubwa ambayo ndio imekuwa ngumu na nzito zaidi ya kikatiba ni hii ya kuhusu kutengua Katiba:

  Sasa ukisoma mtiririko wa hoja za mahakama utaona kuwa wamejenga hoja kwenye msingi wa kisheria sana na kutudokeza tatizo la sheria yetu na Katiba yetu. Nitawaaacha msome wenyewe.

  Lakini mwisho kwenye suala la wagombea binafsi japo wamerudisha kwa Bunge hata hivyo Mahakama imesema:
  Na Majaji wanamaliza hukumu yao kwa maneno haya ambayo ni ujumbe mkubwa kwa wapiga kura.

   
 6. m

  magee Senior Member

  #6
  Jun 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Swali lililopo je ushauri utafuatwa? Na ili ufuatwe embu tujiulize haya.......
  1. Are we really in liberation struggle?
  2. Is it human or wakubwa rights in Tanzania??

  Mbaya zaidi mpira unarudi bungeni........what do you think the outcome will be??

  Ngumu, its high time sisi kuamka na to do what is right.
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Jun 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  nadhani sisi ni wagumu kweli kuchukua muda kusoma kilichoamuriwa na mahakama.
   
 8. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tanzania, Tanzania.... Nakupenda kwa Moyo woteeeeeeeeeee,
  Nchi yangu Tanzania, jina lako ni TAMU sanaaaaaaaaaaaaa,
  Nilalapo Nakuota wewe, Niamkapo ni heri Mama Weeeeeeeeeeeeeeeeee....

  Malizieni.... naenda ku-praktisi... nitarudi baadae
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Nasikitika lengo langu la kutangaza nia limepata kipigo kama cha vuvuzela!
   
 10. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wandishi wa habari wa tanzania oyeeeeeeeee, duuuuuuu, Heading zote leo Mtikila kashindwa? jamani hatuna waandishi kwa sasa, Journalist Vipi?

  Kaeni chini msome kwanza na sio kukurupuka
   
 11. W

  WildCard JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Uandishi wa habari ni taaluma tegemezi. Ili uwe mwandishi wa habari mzuri ni lazima uwe umesoma vizuri taaluma nyingine pia.
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  AndrewK.. naomba uniangalizie hivyo vichwa cha habari vinasemaje maana naona kuna haja ya kutoa elimu kidogo..
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hivi ni Kwa nini Hii Kesi ilisikilizwa na Majaji Saba?

  Je, siyo Janja ya Mahakama kuweka Kikwazo kwa Mtikila kukata Rufaa endapo angeshindwa?

  Mimi sijui mambo ya Sheria jamani naombeni Ufafanuzi as to "Why Jopo la majaji Saba na siyo watatu?" kwa mfano
   
 14. m

  micklove Member

  #14
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka elimu yako ianzie kuwafanya wawe sehemu ya Watanzania, manake wamekuwa kama external observers au watu fulani hivi wanaoelea hewani, kwamba yanayotokea hapa Tanzania hayawahusu wao wala vizazi vyao. Wanaandika mambo ya msingi ya nchi kama wao hawahusiki nayo.

  Mfano mtanzania anaandika Mtikila abwagwa, hata hajasoma hiyo hukumu, kama nimekulewa vizuri hapo juu (nami sijaisoma) statement kuwa abwagwa haina mantiki. Kuna mtu alisema bungeni kuwa wanaotanganza nia majimboni ni mavuvuzela mimi naona waandishi wa habari wengi wa Tanzania ndo mavuvuzela yavumayo bila kujua kwanini yanavuma.

  Heshima mbele
   
 15. Devils Advocate

  Devils Advocate Member

  #15
  Jun 18, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaaaa Buchanan. I think if you read the judgment its Mtikila vs the AG (I mean ifyou look at how the court decided).
   
 16. Devils Advocate

  Devils Advocate Member

  #16
  Jun 18, 2010
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesi husikilizwa na majaji wengi zaidi ili kuondoa mikingano hasa kama kesi ni sensitive. Zipo kesi chache sana zilizowahi kusikilizwa hivi na hii ni mojawapo. The only problem hapa ni what value did the 7 justices (not judges because they are from the court of appeal) add? its a little disappointing what the judges decided.I never expected a unanimous decision. I thought there could be a dissenting judgment or much more elaboration or looking at the judgment from another angle.
   
 17. T

  Thomas David Member

  #17
  Jun 18, 2010
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The judges said that. "Thus the issue of independent candidates is political and not legal "

  But

  Does this hold water?

  Thomas
   
 18. W

  WildCard JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mwananchi wao wanasema: Mahakama yafuta mgombea binafsi; Mtikila asema hakutarajia miujiza, atakata rufaa
   
 19. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Madam mahakama ya rufaa imeshatoa maamuzi[ushauri], na kama kweli tunataka haki ya mtanzania ya kuchagua na/au kuchaguliwa kwenye chaguzi ipatikane basi ni budi bunge/mwanasheria mkuu watengeneze mchakato wa kuhusisha wananchi wenyewe ili watoe maamuzi kuhusu hili.
  Wasiwasi wangu ni kuwa bunge kwa vile lina wakilisha wananchi, wanaweza wakafanya maamuzi kwa niaba yetu kinyume na matakwa yetu [hasa kwa wale ambao siyo wanachama wa vyama vya siasa].
   
 20. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Madam mahakama ya rufaa imeshatoa maamuzi[ushauri], na kama kweli tunataka haki ya mtanzania ya kuchagua na/au kuchaguliwa kwenye chaguzi ipatikane basi ni budi bunge/mwanasheria mkuu watengeneze mchakato wa kuhusisha wananchi wenyewe ili watoe maamuzi kuhusu hili.
  Wasiwasi wangu ni kuwa bunge kwa vile lina wakilisha wananchi, wanaweza wakafanya maamuzi kwa niaba yetu kinyume na matakwa yetu [hasa kwa wale ambao siyo wanachama wa vyama vya siasa].
   
Loading...