Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,005
Reaction score
3,585

Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.

Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.

Kauli ya Wizara ya Mambo ya Ndani ~ Patrobas Katambi: Tutachunguza clip ya Bodaboda kuvutana na Askari Polisi, haki itatendeka
 
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.

Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Nani huyu?
 
Attachments

  • downloadfile(47).jpg
    downloadfile(47).jpg
    19.3 KB · Views: 6
Imeniuma sana. Wanamuangalia tu badala waruke nae🚮
Sisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.
 
Kwahiyo mimi ni keyboard worrior?😅
 
Mwisho wa siku Lissu atakapochukua nchi tutakuwa na reconciliation na baadhi ya watu watasamehewa lakini kuna watu kama wewe tutawasaka tu na kuwapata na utatueleza vizuri...Technolojia haitatudanganya tutakupata tu. Just a matter of time
 
Back
Top Bottom