Je, atajiuzulu kama wanavyotaka?

Je, atajiuzulu kama wanavyotaka?

..Nchimbi hakuwa serikalini wakati mauaji yanatokea.

..Wanaopaswa kuwajibika kwa mauaji ya Oct 29 ni hawa:-

1.Samia Suluhu.
2.Phillip Mpango.
3.Kassim Majaliwa.
4.Innocent Bashungwa.
5.Stergomena Tax.
6.Jacob Mkunda.
7.Camilius Wambura.
8.Suleiman Mombo
 
Nimeanza kupoteza kumbukumbu.Hivi,makamu akifariki(kwa mfano au kuachia ngazi)nafasi yake hujazwa kwa utaratibu upi?
Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla ya kwenda kugombea Zanzibar na kushinda kwenye uchaguzi wa 2010.

Kwa hiyo Katiba inampa madaraka Rais kumteua Makamu wake iwapo atafariki au kujiuzulu.
 
Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla kwenda kugombea Zanzibar na kushinda.

Kwa hiyo Katiba i madaraka Rais kumteua Makamu wake iwapo atafariki au kujiuzulu.

Nadhani enzi za Mkapa (2001) ilitokea hii pale Makamu wake Dr. Omary Ali Juma alipofariki, Dr. Mohamed Ali Shein aliteuliwa na Mkapa kuwa Makamu wake. Na baadaye akaendelea na JK, kabla ya kwenda kugombea Zanzibar na kushinda kwenye uchaguzi wa 2010.

Kwa hiyo Katiba inampa madaraka Rais kumteua Makamu wake iwapo atafariki au kujiuzulu.
Basi, ndiyo maana wanamkosea staha,kumdhihaki na kumtukana wakijua wana chaguo lingine kimaamuzi.Anawekwa kimtegomtego wakijua Wanaweza kubonyeza kitufe upande wanaoutaka.
 
Basi, ndiyo maana wanamkosea staha,kumdhihaki na kumtukana wakijua wana chaguo lingine kimaamuzi.Anawekwa kimtegomtego wakijua Wanaweza kubonyeza kitufe upande wanaoutaka.
Ukiunganisha dots utagundua hata yule Mbunge mzazibari aliyemuita Yuda alikuwa ni mjumbe tu. Binafsi nitashangaa sana kama Yuda atafuata nyayo za Job kujiuzulu kutokana na mashinikizo. Ninaamini alijifunza kwa yaliyomkuta mwenzake.
 
Back
Top Bottom