Idd Amin's State Research Bureu and Adolf Hitlers SS (Protective Squadron)

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
2,722
Reaction score
4,306
Idd Amin na Reich Fuhrer Adolf Hitler walianzisha vikosi hivi nje ya polisi.jeshi usalama wa taifa nk nje ya mifumo yote isipokuwa uwajibikaji ni kwa wao tuu.
Ujerumani ilisimamiwa na Heinrich Himmler na Uganda Isaack Malyamungu.
Majukumu yao yalikuwa
State terror
Surveillance
Abduction
Torture
Extra judicial killings
De ja vu je tunayaona haya mahali ?
@Brittanica @ Synthesiser nk
(Nimetema nyongo FB mtandao wangu wa simu "wamenialika" ni ripoti na NIDA yangu ofisini mwao otherwise nafungiwa line.ukichukulia ya Djumbe wa Lissu na kada wa ccm aliye mtetea Nchimbi mitandaoni SIENDI)
 
Dah umenikumbusha mbali sana! Hii ni fact kabisa, mimi nimebahatika kufika maeneo kama Auschwitz.
Hitler aliunda SS kwa kutumia katiba ya kwake (Aliyoiunda yeye, Main Kempf), aliunda jeshi nje ya polisi wa kawaida. Hawa ndio walihusika pia na mpango wa kuua wayahudi kwa "gas chambers" huko Auschwitz na Sobibor.

Madikteta hawana mbinu mpya. Mbinu zao ni kuzuia press, forced disappearance, abduction, torture, mass killings, kuua watu wanaowapinga ndani ya serikali, kubana habari iwezekanavyo. Hitler alikuwa na chombo kimoja tuu cha habari cha kwake! 😊
 
nonsense 🐒
 
Huna uwezo wa kuwaza nje ya chini za skirt ya mtawala
Huna ulijualo Huna elimu na mbaya zaidi huna akili.
ok gentleman,
tuliza mihemko endelea kuwapiga kamba wafuata mkumbo wenzako kwa porojo nonsense kama hizo bila makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
 
Dah umenikumbusha mbali sana! Hii ni fact kabisa, mimi nimebahatika kufika maeneo kama Auschwitz.
Hitler aliunda SS kwa kutumia katiba ya kwake (Aliyoiunda yeye, Main Kempf), aliunda jeshi nje ya polisi wa kawaida. Hawa ndio walihusika pia na mpango wa kuua wayahudi kwa "gas chambers" huko Auschwitz na Sobibor.

Madikteta hawana mbinu mpya. Mbinu zao ni kuzuia press, forced disappearance, abduction, torture, mass killings, kuua watu wanaowapinga ndani ya serikali, kubana habari iwezekanavyo. Hitler alikuwa na chombo kimoja tuu cha habari cha kwake! 😊

..Samia -- watu wasiojulikana.

..Iddi Amin -- State Research Bureau.
 
Kuna barua moja Amin alimwandikia Waziri Mkuu wa Israel, kipindi amezuia mateka wa kiyahudi hapo Entebbe. Baada ya Israel kuja na kuwakomboa mateka wao, Iddy Amin akaandika barua ile, kumpiga mkwara PM wa Israel enzi hizo akiwa Itzhak Rabin.
Alimwita mchumba/bibi harusi "Bride" "Coward dog" mbwa muoga. Amin alikuwa chizi aisee! 😆

Mwisho wa barua anamalizia;
Al-HAJJI FIELD MARSHALL DR. IDI AMIN DADA.
VC DSO MC
THE LIFE PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF UGANDA.
 
Mwamba alikuwa anakubalika uganda sana alienda mafichoni saudia Arabia namkubali sana
 
..Idd Amin angekuwa anakubalika wananchi wa Uganda wangempigania.

..badala yake Waganda walikuwa wakiwaita askari wa Tanzania WAKOMBOZI na walijiunga nao kwa maelfu kumpiga Idd Amin na washirika wake askari toka Libya, na Palestina.
 
Idd Amin na Reich Fuhrer Adolf Hitler walianzisha vikosi hivi nje ya polisi.jeshi usalama wa taifa nk nje ya mifumo yote isipokuwa uwajibikaji ni kwa wao tuu.
Ujerumani ilisimamiwa na Heinrich Himmler na Uganda Isaack Malyamungu.
Majukumu yao yalikuwa
State terror
Surveillance
Abduction
Torture
Extra judicial killings
De ja vu je tunayaona haya mahali ?
@Brittanica @ Synthesiser nk
(Nimetema nyongo FB mtandao wangu wa simu "wamenialika" ni ripoti na NIDA yangu ofisini mwao otherwise nafungiwa line.ukichukulia ya Djumbe wa Lissu na kada wa ccm aliye mtetea Nchimbi mitandaoni SIENDI)
Wakufungie line kwa kosa gani? Mimi sioni kosa hapa!
 
ok gentleman,
tuliza mihemko endelea kuwapiga kamba wafuata mkumbo wenzako kwa porojo nonsense kama hizo bila makasiriko na itapendeza zaidi 🐒
You are so stupid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom