Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea nchini kuhusu Utanganyika na Uzanzibar kiasi kwamba sasa mijadala hiyo imeingia kwenye Muungano wenyewe!
Madai ya mwanzo kabisa ilikuwa kutaka...
Monster mother of Bangladesh
Historia ya kiongozi wa taifa la Bangladesh, waziri Mkuu Sheikh Hasina ni jambo lenye kufikirisha sana. Alipoingia madarakani, Hasia aliona na wengi kuwa mtu ambae...
MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CHADEMA ZANZIBAR KILICHOFANYKA PEMBA TAREHE 07 JUNI 2026.
Kamati Maalum ya CHADEMA Zanzibar ilifanya kikao chake cha kawaida tarehe 07 Juni 2026, Kisiwani...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amedai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Jonathan Lema, anavuta malipo ya shilingi milioni 15...
Kauli hiyo inahusu umaarufu wa vyama viwili vya kisiasa Tanzania: CCM na CHADEMA.
Kile kinachojulikana kwa mujibu wa taarifa rasmi na matokeo ya uchaguzi:
1. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
Tangu...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdulazizi Chende maarufu Dogo Janja akiapa kuwa Diwani wa Kata ya Ngarenaro, Halmashauri ya Jiji la Arusha leo, Desemba 4, 2025.
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima...
Usiku wa jana Jumapili, nchi zote 2, Marekani na Iran zimetangaza kuwa zimefikia makubaliano ya kukomesha vita, na kwamba Ijumaa zitasaini MoU, nchini Switzerland.
Memorandom hiyo inasema kuwa...
Inasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye...
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)akijibu maswali bungeni leo Juni 15, 2026, amesema Serikali inafanya tathmini ili kuona kama mtu mmoja...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekanusha madai yaliyotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kwamba changamoto ya upatikanaji wa maji katika baadhi ya maeneo...
Hii mbinu imeshapitwa na wakati, wahusika katika Dawati husika wajaribu kuumiza vichwa Kuja na mbinu zingine lakini siyo hizi mbanga.
Pale panapokuwa na mambo Makubwa ya kitaifa yanayohitaji...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ameitaka serikali kuifuta mara moja kesi inayowakabili wanafunzi 17 wa vyuo vikuu wanaotuhumiwa kughushi nyaraka ili...
Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee!
Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati...
Sasa hivi upepo wa kisiasa unavyovuma ni dhahiri kiwango Cha kukubalika kwa viongozi wengi wa CCM kimeshuka miongon mwa watanzania na sijuhi kwanini hawajashutukia hili suala
Tangu Chadema irudi...
Niko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa
Uislam dini ya haki
Hii ndiyo falsafa ya dini yetu uislam hsuruhusu...