Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanganyika tunajengewa kitu ambacho hatukuwa nacho! Kinajengwa na matamshi ya wazi ya wazanzibari! Sikiliza watanganyika wameanza kujitambua Pia soma Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi...
5 Reactions
5 Replies
174 Views
Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical. Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana...
1 Reactions
4 Replies
147 Views
WAZIRI MKUU: SERIKALI ITAENDELEA KULINDA UHURU WA KUABUDU Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu na kuimarisha ushirikiano na taasisi za dini kwa...
1 Reactions
7 Replies
157 Views
Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la...
12 Reactions
65 Replies
1K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hakuna ubishi kuwa kilichotokea October 29, kimesababishwa na chuki iliyopitiliza!. Japo Ripoti ya Jaji Chande, imepunguza kidogo...
11 Reactions
60 Replies
1K Views
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
8 Reactions
27 Replies
866 Views
WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya...
7 Reactions
31 Replies
620 Views
SAME - Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi inathibitisha dhamira ya Tanzania kutofungamana na upande wowote...
3 Reactions
8 Replies
161 Views
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon. Anaandika John...
59 Reactions
197 Replies
3K Views
Wapo wanaotazama ukubwa wa Goliati kwa sababu ana mwili mkubwa, mashamba mapana, madini tele, mito, misitu na hazina nyingi. Lakini historia hufundisha kwamba si kila mamlaka hutegemea ukubwa wa...
8 Reactions
18 Replies
313 Views
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane .. Walianza hii michezo...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Hapa Tanzania , mambo ya kisiasa bado sana. Sisi bado tunapambania survival kuhakikisha unapata mlo wa Kila Leo. Hata kama watanzania waruhusiwe kuandamana bado wasingeweza na hawawezi. Huku...
0 Reactions
6 Replies
82 Views
Kama walivyosingizia kipindi kile Oktoba 29 kuwa picha za matukio ya mauji ni Ai na hizi watasema ni AI
3 Reactions
4 Replies
154 Views
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki...
3 Reactions
0 Replies
76 Views
The issue centers around a proposed U.S. Senate bill called the "Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act", introduced by U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz in May...
3 Reactions
10 Replies
396 Views
Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea...
4 Reactions
12 Replies
283 Views
Mheshimiwa Balozi Dr Nchimbi hongera kwa kutuwakilisha kule Brazili kwa miaka mitano. Sijajua Kama umefanya vizuri au laah. Wateuzi wanajua. Karibu nyumbani Balolozi. Nikupe pia pole kwa...
24 Reactions
164 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…