Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa...
6 Reactions
16 Replies
290 Views
CHADEMA wametoka kuwa chama cha Siasa sasa ni chama cha wanaharakati, wanaendeshwa na rimoti Anachoongea kwenye video Kenan Kihongosi leo, Juni 13 2026 "Lakini jambo lingine ninalopenda...
4 Reactions
29 Replies
399 Views
02 May 2026 KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu...
6 Reactions
23 Replies
478 Views
Kati ya kundi ambalo wanarubunika kirahisi na kuhadaiwa bila kujua kuwa wanatumika tu kulinda na kutetea maslahi ya familia 5 tu zinazo nufaika na rasilimali za nchi kisawasawa basi ni hawa wana...
6 Reactions
17 Replies
220 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Chuo Kikuu, university, unakuta kijana anajihusisha na CCM and he is proud. Sasa...
2 Reactions
4 Replies
188 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya...
7 Reactions
7 Replies
278 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Tuna matatizo nchi hii, mambo mengi sana kama nchi na wote tunajua. Nasema uongo...
4 Reactions
6 Replies
163 Views
Wito kwa Watanzania. Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu...
12 Reactions
26 Replies
600 Views
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa ...
24 Reactions
133 Replies
73K Views
Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya...
3 Reactions
7 Replies
122 Views
KUJIVUA GAMBA KWA NYOKA HAKUMFANYI ASIWE NYOKA. MSALITI NI MSALITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Usidanganywe na Werevu wake. Nyoka ni nyoka. 2. Nyoka anapojivua gamba ili aonekane...
2 Reactions
9 Replies
240 Views
Wanabodi, Niko kwenye voluntariy lockdown, hivyo leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia...
14 Reactions
248 Replies
29K Views
Soma hadi mwisho makala Yangu je Wa kwetu hajanunua PhD ? Chuo hiki kiko na sifa nzuri kimataifa, lakini kama chuo kingine chochote kina udhaifu wake pia. Haya ndiyo yanayorudiwa mara nyingi na...
30 Reactions
55 Replies
1K Views
Mheshimiwa rais, Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu. Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo...
31 Reactions
61 Replies
3K Views
Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Featured
Wakuu, Kuna mvutano mzito unaoendelea huko Ulaya kati ya Bunge la Umoja wa Ulaya (European Parliament) na Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (European Commission) kuhusu mpango wa kuipatia Tanzania...
25 Reactions
255 Replies
7K Views
Wanabodi, Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu. Kwa Waliosikiliza...
40 Reactions
190 Replies
21K Views
Bajeti ya Tanzania Mzima ni 31 Trilion means kila mtanzania Ana ratio ya 460,000. Na wazanzibari ni 8.5 Trilion Means kwa ratio mzanzibari Ana 6,580,000 (Plus 460,000 zile za watanzania maana nao...
20 Reactions
42 Replies
970 Views
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar. Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa...
6 Reactions
23 Replies
535 Views
JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali...
16 Reactions
45 Replies
695 Views
Back
Top Bottom