Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kikwete , Magufuli na Samia wamepunguza maendeleo sana ya jamii Tanzania. Katiba Mapya Ubinafsi Ukabila udini Ubara na Unzanzibari Uchawa Utekaji Rushwa Kutengeneza undugu kufanya vyombo vya...
1 Reactions
4 Replies
60 Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Wiki Ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu...
1 Reactions
3 Replies
63 Views
Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
1 Reactions
49 Replies
434 Views
  • Featured
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata...
13 Reactions
73 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Agosti 21, 2026 amesema Rais Samia Suluhu amejiweka madarakani kwamba hakuchaguliwa na Wananchi na alianzia ndani ya chama chake kwa kujiteuwa...
1 Reactions
1 Replies
83 Views
Mheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo. Kila la heri Sishi babe
24 Reactions
135 Replies
7K Views
Prof Baregu amewataka waliokuwa wajumbe wa tume ya katiba Prof Kabudi na Polepole kutosahau msimamo wao ndani ya tume. Amesema baada ya tume kuvunjwa, yeye pamoja na Warioba, Kabudi, Butiku na...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Rais Samia ana makundi matatu tu: Machawa, viongozi wa usalama na wanzanzibari. Wengine tunaomba muwataje
5 Reactions
5 Replies
114 Views
Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake kwa Tanzania tangu kuanza kwa ushirikiano kati...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Gazeti la MwanaHALISI linakiri kupokea barua kutoka Idara ya Habari – MAELEZO, ikimtaarifu Mhariri Mtendaji kuhusu uamuzi wa kusitisha leseni ya gazeti hilo kwa kipindi cha miezi sita, kuanzia...
2 Reactions
3 Replies
185 Views
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ? Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani? Shahidi...
9 Reactions
116 Replies
1K Views
Iwe ni humu JF au mtandao mwingine ambao viongozi mbalimbali hutoa taarifa za mipango ya miundo mbinu na utekelezaji wake na mipango mingine ya nchi maana humu naona walalamikaji tu
8 Reactions
60 Replies
364 Views
Watanzania takriban milioni 70 wakiamua kumfurusha Samia hawatashindwa. Hakuna polisi wala jeshi hapa Tanzania linaloweza kukabiliana na ghadhabu ya watu milioni 70. Polisi na hao JWTZ hawana...
4 Reactions
12 Replies
159 Views
CHADEMA ISIJISALIMISHE KISIASA, HISTORIA HAIANDIKWI KWA KUNYAMAZA RAI YA, Nicolas Jovin Clinton Gabone Kwanza kabisa, historia ya mijadala ya maridhiano ya kisiasa hapa Nchini inahitaji...
5 Reactions
9 Replies
169 Views
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia. Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
4 Reactions
60 Replies
838 Views
Je Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu? KAMA MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA...
13 Reactions
18 Replies
472 Views
Ninaandika andiko hili nikiwa katika fikra pevu sana. Ninakumbuka katika maandiko Yesu aliposulubiwa ilifika hatua Alilia kwa sauti na Kusema Mungu wangu Mungu Wangu,Mbona umeniacha...
12 Reactions
54 Replies
637 Views
Kukamatwa kwa huyu jamaa yetu kumethibitisha bila kuacha shaka kuwa kweli mtu huyu alikuwa ni kibaraka (mercenary aka puppet) wa mabeberu fulani wa huko ulaya. Hao ndiyo walikuwa wakimpa kiburi...
12 Reactions
85 Replies
4K Views
Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa...
11 Reactions
21 Replies
787 Views
  • Poll Poll
Utabiri wako ni upi kuhusu hii kesi ya Serikali dhini ya Tundu Lissu kwa kosa la uhaini ?
3 Reactions
13 Replies
239 Views
Back
Top Bottom