Wakuu,
Padri Kitima leo kwenye mahojiano maalum amesema japo Rais alikiri kutokea kwa changamoto na kusema matukio hayo hayakuwa ya kawaida na hayatapaswa kujirudia, bado hajatamka neno...
Chama cha ACT Wazalendo kinakemea vikali kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka jioni ya jana Agosti 14, 2026, nje ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi akiwa anatekeleza...
Mara ya kwanza we ndo ilikuwa uwe makamu na ukaambiwa uje Tanzania mwezi march 2021 Lakin kuna kundi likamwambia Mama kwamba we una misimamo kama Bashiru na Polepole hivo hutafaa sasa kuwa makamu...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda...
Hili halina ubishi ndio maana alipata sapoti kubwa kutoka kwa wanannchi wa hali ya chini na wapigani na wahuni walimchukia hayati JPM
Leo hii kumekuwa na tabaka la wanafaidi keki ya taifa huku...
Linusu Kimario, mkazi wa Kipawa, Dar es Salaam, amedai kupigwa na kundi la waendesha bodaboda zaidi ya 30 katika eneo la Kinyerezi Pondi, wakimuhoji kwanini amekuwa akivaa nguo yenye picha ya Rais...
Mahakama ina matatizo mengi kama kutokuwa huru, rushwa, shyster judges, magistrates and the.like.
Mmekomalia mawakili wasiongee na vyombo vya habari kwenye viunga.
Rubbish! Hamjaona polisi...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema mafanikio ya taifa hayawezi kupimwa kwa ukubwa wa miradi ya miundombinu pekee...
📌Waziri Ndejembi asema ni tukio la kihistoria litakaloshuhudiwa na watanzania pamoja na wageni
📌Asema mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa sh.trilioni 7.4 Fedha za Watanzania
Waziri wa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani...
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA
Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).
Kupata...
Mwenendo wa wanaotukana badala ya kujenga hoja kwenye mijadala katika mitandao ya kijamii limeanza kupungua.Naamini waliokuwa wanafanya hivyo wengi wao hawakuwa Raia wa Tanzania na walikuwa na nia...
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan
Nakusalimu kwa JMT,
Kidumu Chama Cha Mapinduzi,
Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya njema, uhai, amani na utulivu kwa...
Muhula wa Mwisho!Tujiulize kwanini Mama anapigana sana kuzuia katiba.
Ni kwasababu wakina Kikwete wanataka waweke watoto zao, yeye aweke mtombah wake ambaye ni waziri kwenye uongozi wa nchi...
Katika kikao cha hivi karibuni kati ya TEC na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, je, suala la kesi ya Tundu Lissu lilijadiliwa?
Kwa kuwa Lissu amekaa gerezani kwa muda mrefu, wengi tunaona sasa...