ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,802
- 60,648
Katika kikao cha hivi karibuni kati ya TEC na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, je, suala la kesi ya Tundu Lissu lilijadiliwa?
Kwa kuwa Lissu amekaa gerezani kwa muda mrefu, wengi tunaona sasa umefika wakati wa jambo hili kupata suluhisho. Kauli yake ya “tutakiwasha” ilichukuliwa kama kosa, lakini je, kosa hilo linafaa kuendelea kumweka gerezani kwa muda wote huu?
Nilitegemea kikao cha TEC na Mheshimiwa Rais kingeligusia suala hili, na ikiwezekana kutoa majibu yenye matumaini kwa Watanzania kuhusu hatma yake.
Je, TEC ilimfikishia Mama suala hili? Na kama ndiyo, kuna matumaini gani kuhusu kuachiwa kwake?