Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata...
2 Reactions
8 Replies
202 Views
Wanabodi Nilikuwa nasikiliza kitu kumhusu Nicolo Machivaeli kwenye kitabu cha The Prince, audio books imefanya reading books made easy, usingizi ukikata unakamata simu yako na kujikeep busy...
9 Reactions
75 Replies
990 Views
Habari wakuu, Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari...
2 Reactions
33 Replies
612 Views
Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao. Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea. Inakuwaje mnajitengea...
0 Reactions
2 Replies
103 Views
Akiongea hivi punde kupitia Podcast ya 'Royal" mwandishi nguli wa habari nchini Tanzania Pascal Mayalla, kasema watu waliouliwa Oktoba 29 kama walikuwa wanaandamana, waliuliwa kwa sababu vyombo...
17 Reactions
164 Replies
3K Views
Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia. Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru. Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao...
2 Reactions
8 Replies
143 Views
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina...
20 Reactions
150 Replies
3K Views
Wazanzibari wanaungana dhidi ya watanganyika ili kumlinda mzanzibar mwenzao, watanganyika wanauana sababu ya mzanzibar!! Ipo siku wajukuu zetu watatuuliza maswali magumu
37 Reactions
70 Replies
1K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa...
126 Reactions
950 Replies
100K Views
Zanzibar wanachama chao cha mpira ZFF kinatambuliwa na Caf. Bado huwa wanapiga kelele wakitaka wajiunge na FIFA. Leo TFF wameomba kuandaa Afcon halafu hawa Wazanzibari wanapewa nafasi ya kuwa...
5 Reactions
19 Replies
234 Views
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Nchi hii tulipata bahati mbaya sana sijui tulimkosea mungu nini. Kutoka urais wa John Pombe Magufuli hadi kuingia urais wa Samia Suluhu?! Samia sio mzalendo jasiri na mwenye maarifa kama magufuli...
8 Reactions
26 Replies
421 Views
Ni kijana Ambaye haifahamiki anachokipigania Mbaya zaidi hata waliomteua hawaelewi kipaji Chake ni kipi, wamo wanaamini anapata vyeo kwa ushirikina. Hebu angalia hiyo hoja aliyoijenga hapo...
6 Reactions
29 Replies
736 Views
Watanganyika endeleeni kupaza Sauti ya Utaifa ya Tanganyika. Kadri Wazanzibari wanavyojibu ndio mpasuko ndani ya Jamii unaongezeka, sikiliza kwa makini huyu Sheikh anayozungumza alafu useme kwa...
5 Reactions
21 Replies
557 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje...
4 Reactions
88 Replies
2K Views
✍️Kilichoifanya Bajeti ya 2026/27 kuwa ya kipekee si ukubwa wake pekee, bali ni mwelekeo wake wa kimkakati katika kujenga uchumi unaozalisha utajiri, ajira na fursa kwa wananchi. Kwa mara ya...
1 Reactions
6 Replies
131 Views
Nchini South Africa, wageni (hasa kutoka nchi nyingine za Afrika) wamekuwa wakikumbana na matukio ya ubaguzi wa wageni (xenophobia) na wakati mwingine vurugu. Haya ndiyo mambo makuu mabaya...
2 Reactions
12 Replies
309 Views
Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu na kuimarisha ushirikiano na taasisi za dini kwa kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi hizo katika kujenga maadili...
3 Reactions
7 Replies
180 Views
Mnatambua wazi kuwa CCM imeshachokwa na Watanzania. Watanzania hawaitaki CCM na hawamtaki rais Samia. Hili lipo wazi. Mnafanya uzembe kuandikisha wanachama kwenye vyuo vikuu. Mnafanya uzembe...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…