Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu. Kumekuwa na...
1 Reactions
14 Replies
563 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, leo tarehe 12,Juni 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendelea kwa siku tatu hadi Juni 14, 2026. Mbali na Mafunzo...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere...
0 Reactions
3 Replies
145 Views
Siasa za namna hii ndizo zinazo kwamisha nchi kusonga mbele. Hakuna uzalendo wa dhati kwa nchi, wala namna yeyote ya kuwa na uzalendo kwa nchi hakuna , nchi inateketea hii kwa ujinga.
5 Reactions
7 Replies
124 Views
Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi Je, bado tunauhitaji muungano? Je, bado unafaa? Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
4 Reactions
24 Replies
325 Views
BARUA YA WAZI KWA TUNDU LISU Na, Robert Heriel Taikon wa Fasihi, S.L.P 9977, JIBI, Kutoka Nyota ya Tibeli. 30, 07. 2020. YAH: KUKUONYA DHIDI YA KUTETEA MASIKINI NA WAPUMBAVU. Ndugu Mhe Lisu...
87 Reactions
280 Replies
28K Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald...
11 Reactions
142 Replies
2K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imebainisha kuwa kiwango cha akiba ya fedha za kigeni nchini kimeendelea kuimarika na kufikia uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa kipindi cha miezi 4.8...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
My Take Wengine waliotangukia walijenga ila Samia amejenga na kujenga zaidi. https://www.instagram.com/p/Cen-Vgxqcjl/?igsh=MTNsdnk1ZG1yNjd6YQ== Kuna wale nyumbu na haters wake watakuja kubisha na...
1 Reactions
39 Replies
417 Views
Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma. Balozi Khamis Mussa...
4 Reactions
14 Replies
582 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam...
1 Reactions
2 Replies
156 Views
Kuna kauli isemayo ficha wachache ili upate kutawala waliowengi vizuri, Uliwahi kujiuliza hao wachache ni akina nani? umewahi kujiuliza hao wachache wanakuwa na sifa zipi? umewahi kujiuliza wakati...
19 Reactions
99 Replies
16K Views
Wasitaafu SERIKALI YANGU, inawapenda sana MAFAO YENU, nitawalipa kwa utaratibu mzuri pole pole pindi MTAKAPOSTAAFU, nikiwapa kwa mkupuo mnazitafuna ndani ya mwaka mmoja tuu MKO HOI, Nawapenda...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Tumekuwa tunawapima viongozi wetu kulingana na utendaji wao wa maeneo wanayosimamia, na kuweza kuona mazuri na mapungufu yao, Kwa mwaka 2015 yalikuwapo magwiji wawili ambao ni Magufuli na...
36 Reactions
209 Replies
22K Views
Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo...
4 Reactions
19 Replies
557 Views
Nikiagalia pale Rwanda pale, walimshangilia Kagame kwa kupata mkombozi safi, Uganda wakafika hatua wakasema Hakuna kama Mseveni kwa meizi ile 50 ya mwanzo lakin muda huu unaoana kinachoendelea...
20 Reactions
45 Replies
5K Views
Usalama wa Taifa tuliyokuwa nao enzi hizo siku hizi nao waitwa MAAFISA, bungeni bunge lote hakuna usalama wa Taifa, ikulu yote haina usalama wa Taifa ndio maana Hayati Magufuli alikuwa anafanya...
7 Reactions
14 Replies
307 Views
Hii ni sauti inadaiwa kuwa ya Ahmed Shabiby, mbunge wa Gairo , alipigiwa simu na Mwananchi kuhusu maendeleo lakini yeye akamtukana na anasikika akiagiza watu aliokuwa nao kwamba huyo mwananchi...
4 Reactions
16 Replies
337 Views
  • Redirect
Kuna ka movie kuhusu kifo cha Dr.Kleruu alivyopigwa risasi na Mhehe Mwamindi.Popote movie inapojadiliwa asilimia kubwa wanamuona Mwamwindi kama shujaa.Watawala huo i ujmbe.
2 Reactions
Replies
Views
1. Kuna watu wanapoteza mamilioni ya fedha ,zinaokotwa na kutangaziwa wenyewe na kukabidhiwa 2. Wakati wa Ramadhani, wanakula nje, wakipita wengine wanakarabishwa. Wakiristo wengi...
5 Reactions
137 Replies
867 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…