Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,605
- 4,263
Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile..
So naamini ni kweli hawa viongozi wawili hawako sawa kimahusiano.
So naamini ni kweli hawa viongozi wawili hawako sawa kimahusiano.