Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu kwa sababu kisiasa January Makamba anamzidi Membe wa 2015 na 2020 Nawatakia Dominica njema 😄🙏✔️
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya...
2 Reactions
9 Replies
254 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo nikizungumzia kitu kinachoitwa national pride, ambacho Tanzania tulikuwa nayo enzi za Nyerere. Kwenye umasikini, kuna...
3 Reactions
14 Replies
280 Views
Aibu utaona wewe baada ya kuonya juu ya Upigaji wa CHADEMA sasa ni uthibisho tosha tone kwa tone ilishatimia mda mrefu na viongozi hawataki tena kutoa feedback kwa wananchi kwani wanahisi...
1 Reactions
6 Replies
79 Views
Katika mfumo wa demokrasia, maandamano ni haki ya kikatiba inayotambulika wazi katika Ibara ya 18 na 29 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Haki hii inahusisha uhuru wa kujieleza na...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama...
9 Reactions
235 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mzee Butiku hivi karibuni akiwataka vijana kupuuza ushauri wa wanasiasa wanaodai Haki, Uwajibikaji na Katiba ya Wananchi (anaouita ni ushauri potoshi), badala yake anawaasa vijana...
4 Reactions
17 Replies
224 Views
Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM. Twende na rejea hotuba ya baba...
2 Reactions
2 Replies
310 Views
Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu...
9 Reactions
21 Replies
384 Views
Wadau za asubuhi? Naomba kuuliza je ccm na genge lao la watekaji, mauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta wanamuogopa Heche zaid ya nyuki Kwa nhegele? Maana Heche akitoa moja tu hilo genge lote...
1 Reactions
3 Replies
44 Views
Kiongozi huyo amesisitiza kuwa Zambia kama taifa huru lina misingi yake thabiti na haliko tayari kufuata wala kutumia mfumo au formula za kisiasa kutoka nchini Tanzania. Amewataka raia kutoka...
14 Reactions
55 Replies
1K Views
Hizi dini zinatuvuruga sana. Tunaambiwa tuamini Biblia, tumefundishwa Amri za Mungu kabla ya Ubatizo wala kuwa Mkiristo unaambiwa uzitaje kwa Kukariri. Tukija kwenye Maisha ya kawaida, amri moja...
6 Reactions
33 Replies
321 Views
Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo. Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela. Kakosoa Hahdidu za Rejea...
8 Reactions
15 Replies
280 Views
  • Redirect
guest-1787180022
0 Reactions
Replies
Views
Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama...
7 Reactions
23 Replies
465 Views
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum) Kutoka Jumuia ya madola Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania: Ndani...
18 Reactions
60 Replies
959 Views
Bana nimekuja kuwaambia kitu kibaya sana, ukifikiri pesa ni suluhisho la kila kitu, subiri tu uone shida zake. Niko hapa nina pesa, lakini stress yangu ni kubwa kuliko ya mtu wa kima cha chini...
1 Reactions
3 Replies
19 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…