Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jicho la tatu ambalo kikawaida linaona zaidi ya uono wa kawaida na mara nyingi linaona mbali kiasi kwamba anayeona anaweza kudhaniwa ni nabii. Wengine wamejaliwa karama ya matumizi sahihi ya...
4 Reactions
72 Replies
1K Views
Leo kujiiita eti jeshi la wananchi wananchi ni dharau kwa watanzania. Hili ni jeshi linalo angalia mauaji na kuchekelea ya walala hoi wa kawaida. Badala ya kulinda mipaka na katiba jeshi...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama...
2 Reactions
5 Replies
232 Views
Huo ndio ukweli na bila katiba mpya wengi watapoteza maisha maana bila kuondoa haya majanga yaliyopo ya katiba mbaya tusubiri mabaya tu
4 Reactions
18 Replies
263 Views
Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi...
1 Reactions
6 Replies
172 Views
  • Redirect
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Watanzania wapambane kupata katiba mpya ambayo itaipeleka nchi mbele na kuleta maendeleo.
0 Reactions
– Replies
– Views
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki. Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao...
6 Reactions
18 Replies
184 Views
Wamepelekewa moto kidogo tuu Milio mingiiiii 🤣🤣🤣 Na washukuru wamevunja katiba kuzuia mikutano ya siasa kupitia wizara ya mambo ya ndani
4 Reactions
3 Replies
170 Views
Watanzania tusingie huu mkenge nchimbi ni ccm maneno aliyotamka si bahati mbaya ni muda sasa kuwambia ccm michezo yao tushaijua hakuna wakutuhadaa ikiwa wanayosema yana ukweli watuambie pole pole...
3 Reactions
3 Replies
74 Views
Nukuu hizi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni shahidi wa wazi wa jinsi genge la watawala lilivyogeuka na kuasi misingi na maono ya mwanzilishi wa taifa letu. Kwa kulegeza ulinzi wa Katiba na...
3 Reactions
6 Replies
153 Views
Habari wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi binafsi bwana Endasak, sijawahi kumuelewa Msemaji wa Serikali ya Tanzania. Hivi karibuni ameonekana akizungumza kuwa wanachi...
1 Reactions
4 Replies
108 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amezindua huduma za usafiri wa umma ya mabasi ya umeme; Kituo cha Mabasi Malindi; pamoja na kadi maalumu za usafiri kwa...
6 Reactions
19 Replies
387 Views
Kuna watu wanasema wako tayari kufungwa jela kama Mandela< Nyerere, Kaunda na Jomo Kenyatta walivyofungwa wakati wanadai Uhuru wa nchi zao. Ni kweli Tanzania inahitaji nguvu kama zilezile...
1 Reactions
9 Replies
208 Views
  • Redirect
NCHIMBI
2 Reactions
– Replies
– Views
Nchimbi ametangaza vita ya Urais kwa aliyopo au Wanaotaka, kama ilivyo ada ya CCM Samia akiwa hayupo watamsema sana na matusi juu, baadaye wanarudi walipokuwa. Tusikubali ulaghai unaopikwa
0 Reactions
2 Replies
80 Views
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)...
1 Reactions
5 Replies
155 Views
Mbaya zaidi, hakuna senior politician katika uongozi wa kitaifa, wa kutuliza joto na mihemko hiyo ya vijana hao katika uongozi wa kitaifa ndani ya chama hicho. Makundi ya kijamii kama vile BAZECHA...
0 Reactions
28 Replies
178 Views
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe...
1 Reactions
13 Replies
381 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke ameendelea kusisitiza kuwa hiyo ni lugha ya picha ila lengo ni kutoa hizia za wasiwasi kuwa kuna wananchi wanalalamika na wanadai kuna tatizo hivyo mamlaka ikiwemo vyombo...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Back
Top Bottom