Orketeemi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,582 Reaction score 14,345 Aug 28, 2026 #1 Wanajamvi. Kuachana na mambo ya CCM ,,, ikawa uchaguzi wa Rais wagombea ni huru. Kati ya Samia na NCHIMBI UTAMCHAGUA nani? Au ninyi wana CCM ukiwekwa Uchaguzi huru ndani ya chama nani atashinda kati ya hawa wawili?
Wanajamvi. Kuachana na mambo ya CCM ,,, ikawa uchaguzi wa Rais wagombea ni huru. Kati ya Samia na NCHIMBI UTAMCHAGUA nani? Au ninyi wana CCM ukiwekwa Uchaguzi huru ndani ya chama nani atashinda kati ya hawa wawili?
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,836 Reaction score 26,556 Aug 28, 2026 #2 Jamii forums the home of Great Thinkers. Long life jamii forum. Wabaya wasiishinde.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 7,773 Reaction score 15,091 Aug 28, 2026 #3 Nilisema sijala maharage muda mrefu, mtu kanipikia, nimeonja kaweka sukari,kulalamika siwezi 🤔
S Scientist ZAK Member Joined Apr 11, 2026 Posts 26 Reaction score 35 Aug 28, 2026 #4 Emanuel Nchimbi Bora mara elf kumi
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,278 Reaction score 129,656 Aug 28, 2026 #5 Tumekubali wenyewe taifa kuongozwa na failure.
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,298 Reaction score 18,372 Aug 28, 2026 #6 Nchimbi ni mdhaifu. Hana uwezo wa kudhibiti hisia ambazo yeye anazita msimamo. Ni mchache wa busara. Ajbu wafuasi wengi wa CDm watampigia kura kwa siasa zao fuata upepo
Nchimbi ni mdhaifu. Hana uwezo wa kudhibiti hisia ambazo yeye anazita msimamo. Ni mchache wa busara. Ajbu wafuasi wengi wa CDm watampigia kura kwa siasa zao fuata upepo
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,601 Reaction score 28,058 Aug 28, 2026 #7 Kumuweka Dr Nchimbi na huyo mwanamke obviously ni Nchimbi ataongoza huyo ilibidi awekwe na jiwe au gogo la mti ajionee maajabu.
Kumuweka Dr Nchimbi na huyo mwanamke obviously ni Nchimbi ataongoza huyo ilibidi awekwe na jiwe au gogo la mti ajionee maajabu.
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 39,762 Reaction score 25,654 Aug 28, 2026 #8 Embu acha kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu na lilevi la gongo. Rais Samia alishachaguliwa na Watanzania kwa zaidi ya 98%
Embu acha kujitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu na lilevi la gongo. Rais Samia alishachaguliwa na Watanzania kwa zaidi ya 98%
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 8,601 Reaction score 28,058 Aug 28, 2026 #9 darcity said: Nchimbi ni mdhaifu. Hana uwezo wa kudhibiti hisia ambazo yeye anazita msimamo. Ni mchache wa busara. Click to expand... Samuya je?
darcity said: Nchimbi ni mdhaifu. Hana uwezo wa kudhibiti hisia ambazo yeye anazita msimamo. Ni mchache wa busara. Click to expand... Samuya je?
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,132 Reaction score 15,225 Aug 28, 2026 #10 Hapo sitapiga kura, mpaka nione jina la Tundu Lissu