Si Lissu, Heche Wala Mbowe wote walipata baadhi ya fedha zao toka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Viongozi wa CCM,
Hivyo Wenje pia alipata ufadhili hivyo hivyo kwa hiyo kama ni kosa wengi wametenda...
Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini
=====================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa...
Kutoka account ya X ya Hilda Newton:
Nimepokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Wakili Advocate Mahinyula
Anasema kwamba leo Mohamed Issa amefikishwa Mahakama ya Uhujumu...
Nimeshangaa sana Majaji watatu wa nchi Jirani kutoa hukumu kwamba Spika Lwetangura alikosea Kuifanya Kenya Kwanza kuwa Majority bungeni badala ya Azimio
Sasa Azimio wametamkwa na Mahakama kuwa...
Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya...
Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mara, Eng. Vedastus Maribe, amemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, kusaidia kushinikiza...
Yaani ulisikiliza Maria space ndiyo utajua kuna watanzania wengi tu wenye akili na hoja. Watanzania wanajadili mambo ya msingi kuliko bunge ambalo ni bunge la uchawa na kusifia tu. Hakuna mjadala...
Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania!
Baada ya Jiji la Dar es Salaam ku host Mkutano Mkuu wa Nishati wale Team Dodoma wamefura sana eti Mkutano ungefanyika Dodoma.
Labda tuwaulize tu wale Team...
Watanzania wote tunaamimi wewe ni mtu sahihi kupeperusha bendera ya Chadema kama mgombea urais 2025.
Wakati ni sasa tangaza nia mapema na sisi tunaotakia mema taifa hili tutakuunga mkono...
MISAADA YA MAREKANI NA UHURU WETU KAMA TAIFA.
Marekani kupitia MCC imeridhia kuinyima Tanzania fedha za msaada zaidi tirioni na pia nchi yetu imetolewa kabisa kwenye orodha ya nchi ambazo...
Serikali imezungumzia tishio la Serikali ya Marekani la kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na mgogoro wa kisiasa Zanzibar na kukamatwa kwa maofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za...
Vitendo vya rushwa vimeendelea kuligharimu taifa baada ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) kuzuia misaada yake kwa Tanzania yenye thamani ya dola za Marekani milioni 472.8 (Sh. trilioni...
Hawa watu wana ushirikiano wa hali ya juu, hawana msaliamtume hasa linapokuja suala la haki za binadamu na utawala bora, ndio maana utakuta nchi nyingi zinazoongoza kwa utawala bora huwa ni kutoka...
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa...
Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia.
CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa...
Chaguzi za 1995, 2000 na 2005 Machawa yalikuwa bado hayajaasisiwa na alitegemewa zaidi Captain John Komba na TOT kiukweli tulikuwa tunashinda kiwepesi na KURA tulihesabu hadharani bila hofu...
Naona matangazo kila Mahali kwamba tarehe 15 February Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atapokelewa kijijini kwao Ikungi na maelfu ya Watanzania
Hii imenishangaza maana Hata Chato enzi za...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati, kimekemea vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Maafisa Elimu cha kuwalazimisha walimu kwenda kushiriki sherehe ya kuzaliwa kwa Chama...
Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama.
Hayati Magufuli allijenga sana Chato.
Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.