Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Barabara ya Tanzania kwenda Damascus ni makala mafupi (tafadhali tazama attachment) yanayozungumzia Katiba tuliyo kuwa nayo wakati wa uhuru hadi hapo ilipobadilishwa. Jioni njema, Ludovick
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Utangulizi Katika kipindi hiki, kuna masuala kadhaa yanayoonekana kuathiri juhudi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kusimamia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano inayojengwa...
2 Reactions
18 Replies
861 Views
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
15 Reactions
135 Replies
13K Views
Wakuu, Hii ni kali. Yaani kila kitu sasa hivi ni Samia, Samia, Samia! Kwani kampeni zimeanza wengine hatuna taarifa? Msajili wa Vyama vya Siasa ni zaidi ya 0. Kuna maana gani ya kuwa hapo...
3 Reactions
96 Replies
4K Views
Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii. Kupitia jinai hii...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
Wasalaam. Ni kawaida katka nchi yoyote ile duniani kuwa na majasusi wa kufanikisha mikakati na malengo ya nchi husika. Halikadhalika katika vyama vya siasa vyenye malengo ya kushika dola kuna...
3 Reactions
10 Replies
649 Views
Wakuu baada ya kujitafakari kwa kina kwa kipindi kirefu Mimi Wakusoma 12 kwa kushawishiwa na vipaumbele vya awamu ya SITA na kwa namna maendeleo hasa kwenye sekta za elemu na afya nimeamua...
0 Reactions
2 Replies
306 Views
Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Atakayepingana na Maono haya no dhahiri anapingana na Allah, Muumba wa Vitu Vyote. Sifa za Rais wetu mpya 1. Mpenda Haki - Anahakikisha Kuna uhuru wa mawazo, maoni, Mahakama kuwa Huru, Polisi...
21 Reactions
92 Replies
3K Views
Wana JF Heshima kwenu. Za kutoka jikoni kwa walio Karibu na "Mjomba" wanaeleza wazi kuwa bwana Mkubwa baada ya kuona upepo namna unavyokwenda, aneonesha nia ya kutogombea Tena Jimbo la Ruangwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu mbunge jau sana, ndio shida ya ubunge wa kupewa, basi tuseme ni suala la muda tu kujiweka wazi kama mwanachama wa CCM, lakini hakupaswa kuwa chawa wa Mama. Wabunge wa namna hii, wana...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Tanzania ilipewa jukumu kubwa la kuongoza vikosi vya Umoja wa Mataifa huko DRC, 2013/14 kazi kubwa ya kuisambaratisha M23. Kwa msioifahamu Tanzania vizuri,mwaka 2008 tulikuwa front line visiwa...
14 Reactions
99 Replies
5K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
6 Reactions
130 Replies
6K Views
Kesho moja ya agenda,kimsingi agenda kubwa ambayo masikio ya wengi yanasubiri kuona maridhiano ya mgogolo wa huko DRC unafikiwa muafaka.Tuendelee kuwaombea afya njema wahusika wote wakuu ikiwa ni...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Lissu alisema CHADEMA wanaenda kujifungia halafu watakuja na azimio gumu la no reform no election. Cha ajabu wanahifungia hotel ya kifahari ya nyota 5 halafu waje na azimio gumu. Hotelini ni...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa...
1 Reactions
12 Replies
834 Views
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Mwanasiasa na aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje, ameweka wazi msimamo wake kuhusu siasa za chama hicho baada ya uchaguzi, akisisitiza kuwa bado yuko ndani ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini...
15 Reactions
61 Replies
3K Views
Lissu alikuwa mwongeaji sana na Media akiwa makamu mwenyrkiti ,baada ya kupata uenyekiti kimyaa. Uenyekiti sio lelemama alidhani lelemama. Kuna taarifa za ndani kuwa alichokikuta baada ya...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom