Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,661
- 46,349
Maoni mengi ya wabongo wengi mtandaoni kuhusu msaada wa mchele wenye virutubisho kutoka Marekani ni hofu yao isiyo na mashiko "obsession" au ugomvi na ushoga.
Wengi wanaupinga msaada huo eti kwa sababu unaweza kuwa na viambata vya kuwafanya wanafunzi watakaoula kugeuka kwa mashoga! Yani katika sababu zote hii ndio imetawala na imekuwa msingi wa upingaji wao wa mchele huo!
Jamii inayoweza kuwaza mambo kwa muono huo wa ngono tu katika jambo ambalo halihusiani kabisa hasa katika ulimwengu wa leo ni jamii ambayo imeharibika sana kiakili na inahitaji kupewa msaada wa kila kitu, sio wa mchele tu bali hata wa afya ya akili.
Ni ujuha watoto wasipiwe mchele wa virutubisho kwa "obsession" na conspiracy ushoga tu. Kama hao mabeberu wanaweza kufanya hivyo katika mchele wanashindwa vipi kufanya katika mafuta ya kula, ngano, tambi, apples, vipodozi, chanjo na dawa kutoka nchi zao au makampuni yao?
Pia soma Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID