Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine . Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala . Kwa ujumla...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa...
1 Reactions
56 Replies
2K Views
Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa...
16 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa hali hii: Sote ni ndugu kwa nini tusiwe na agenda moja za haki? Duniani sote wapita njia.
7 Reactions
14 Replies
1K Views
UTANGULIZI: Mwaka huu 2025, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wake. Ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kujinadi na sera zitakazoleta Maendeleo kwa Taifa letu ndani ya miaka...
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho. Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Nawashauri tu wanaoppteza muda wao kudhani kwamba wanaweza kupambana na Tundu Antiphas Lissu. Sauti kutoka Within inasema kamwe hamtafanikiwa mtapoteza muda na rasilimali zenu. Kwani huyu Mtu...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi...
0 Reactions
6 Replies
590 Views
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni...
25 Reactions
86 Replies
6K Views
Wakuu, Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa! Ilianza kwa Samia na Mwinyi...
2 Reactions
9 Replies
675 Views
Wakuu, Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ===== Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu, Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Dar es Salaam leo inakuwa mwenyeji wa mkutano muhimu wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC). Lengo kuu ni kujadili na kutafuta suluhu...
1 Reactions
8 Replies
488 Views
03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac...
6 Reactions
113 Replies
7K Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema sera ya elimu bure inayopigiwa kelele na Serikali ya CCM ni ulaghai mtupu. Haitekelezeki kwa ufanisi kiasi cha kurejesha tena michango lukuki kwa...
3 Reactions
2 Replies
471 Views
Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024. Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Barabara ya Tanzania kwenda Damascus ni makala mafupi (tafadhali tazama attachment) yanayozungumzia Katiba tuliyo kuwa nayo wakati wa uhuru hadi hapo ilipobadilishwa. Jioni njema, Ludovick
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom