Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sio mama Kizimkazi tu hata Nyerere aliijenga sana Butiama. Hayati Magufuli allijenga sana Chato. Lissu anaanza mapokezi kwao, akipata Urais atajenga sana kwao
0 Reactions
10 Replies
594 Views
Nyie machawa , wazeee wa Mikopo na kutembeza Bakuli la msaada, huku mkiimba mapambio, Mama anaupigaaaa!!. Mliamua kuuacha Msingi aliokua kaunzisha BABA MAGUFULI katika kuhakikisha Taifa linaanza...
3 Reactions
6 Replies
627 Views
Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama Uchaguzi ni mbele huko, lakini tumeona na kusikia habari za utekaji, Upoteaji , Mauaji , matukio yanayoashiria kukosekana Kwa ustahimilivu na uvumilivu wa Kisiasa. Vipi miezi Kadhaa...
3 Reactions
5 Replies
569 Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema endapo Dr Slaa atapatwa na baya lolote hata kufa akiwa mahabusu watu watamlaumu Rais badala ya kumlaumu DPP anayetumia madaraka ya Kikatiba...
8 Reactions
76 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo Februari 07, 2025, amekagua mafunzo ya maafisa waandikishaji wasaidizi kutoka Jiji la Tanga na Wilaya ya Muheza, akibaini...
0 Reactions
5 Replies
594 Views
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake. Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya. Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Samia Suhulu Hassan amepeleka zaidi ya Bilioni 2 katika miradi ya maendeleo Wilaya ya Nachingwea katika mwaka wa fedha wa 2020/2025 ambayo umesaidia...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Wasalaam Kuna taarifa za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika kwamba ndani ya CCM kuna sintofahamu inayoendelea, kuna kundi kubwa halijakubali Rais Samia kugombea tena urais hapo Oct 2025 kwa...
29 Reactions
146 Replies
9K Views
Kafulila asipozibitiwa anaudanganya Umma kupitia PPP, akilenga kueneza uelewa potofu kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. Katika kipindi hiki, ni muhimu kuelewa kwamba PPP...
6 Reactions
55 Replies
2K Views
Mradi mkubwa wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda linalojengwa mkoani Morogoro litakuwa na uwezo wa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 190 za maji na kugharimu kiasi cha Shilingi bilioni 336, umefikia zaidi...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Meli ya Kitalii ya Ledumont D'urville yaweka Nanga Kilwa Februari 3, 2025 Meli ya kifahari ya Ledumont D'urville ikiwa na watalii 146 kutoka nchi za Marekani, Uingereza, Australia, Ufaransa, na...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini (CCM) Boniphace Mwita Getere amewataka baadhi ya Mawaziri kutimiza wajibu wao kwa weledi ili kuweza kutatua changamoto za wananchi. Getere ameyasema hayo Ijumaa...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee. Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Wakuu, Feb 6 Mkurugenzi Mkuu TCRA Dkt. Jabir Bakari alisema dhima ya serikali ni kuhakikisha jamii inanufaika kwenye uchumi wa kidigiti, uchumi ambao shughuli zote zinategemea TEHAMA, na kwamba...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ametea Kamati ya Kuunda ilani ya chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025...
1 Reactions
2 Replies
468 Views
Ukiangalia waarabu majority identity yao ni Uislam na inawaunganisha. Ukiangalia wazungu, majority ni Christianity, ni kiunganishi cha umoja wao. Wa China wana imani zao ambazo ndio kitambulisho...
3 Reactions
76 Replies
2K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom