Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na...
Hatuna wasi kuhusu Saba Saba.
Lakini October 29 pia hatukuwa na wasiwasi, lakini ikatokea balaa iliyotokea.
Mpaka sasa watu wanaongea tu inaonekana hawajaamua wafanye nini Saba Saba.
Tunasubiri...
Daa maisha yanabadilika sana ila Nimecheka sana hapo anaposema Waliofahamiana Wakiwa Watumishi wameblock namba zake isipokuwa RC mmja tuu 😁😁😁😁.
Maisha ya Watanzania ndio yalivyo yanazungukwa na...
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
RPC wa mkoa wa Pwani, ACP Salim Morcase amezuia shughuli za Chadema za uzinduzi wa vizimba iliyokuwa ifanywe na Katibu Mkuu John Mnyika asubuhi ya leo Jumamosi, Juni 13, 2026.
RPC huyo...
Swali dogo, kama ambavyo tunaona CCM imeshaingia mikonon mwa mtu mmoja,
Chama kikuu Cha upinzani kina
Kina ubavu wa kumwondoa mwenyekiti wake madarakani kama ANC ya Afrika Kusini ilichomfanyia...
Naanza na ushauri Kwa msajili wa vyama USITHUBUTU KUIFUTA CHADEMA, WAACHE WACHOKE WENYEWE KAMA ILIVYOKUWA NCCR NA CUF Sisi ni nchi ya utawala wa kidemokrasia
Kwa makosa yanayoshabihiana na ugaid...
Mpumbavu hawez kujiona kamwe namaanisha nini
Katika kikao cha Umoja wa mataifa huru ya Africa ukianza mjadala wa kuhusu viongozi wa Africa kuacha udictator utayasikia kabisa mawazo mazuri ya watu...
Habari za usiku , wengine habari za asubuhi na wengine habari za mchana,
Nasema hivo kwasababu wasomaji wa nyuzi hapa Jf wako sehem mbali mbali
Nina uhakika tunao wamarekani, wa Sweden cc Wilbroad...
Mheshimiwa magufuli mtetezi wa wanyonge tunatambua kiu ulokuwa nayo ya kuwatumikia watanzania na kuwatoa misiri kuwapeleka kanaani
lakin kwa maoni ya watanzania inaonekana kama vile kanaani...
Hivi chama tawala cha siasa kinaweza kufata amri ya chombo cha usalama( Polisi, Jeshi au Magereza) au chombo cha usamala i.e Polisi, Jeshi, Magereza ndo kinafata amri ya chama tawala cha...
Salaam Wakuu,
Kwa roho iliyooneshwa 29 Oct 2025 na Samia Suluhu Hassan, Mwenyeji wa huko Zanzibar ambaye anapenda kutembelea maeneo ya Tunguu.. Hakika damu ya Watanzania ipo mikononi mwake.
Bado...
Saa kumi na mbili kasoro,
Wasira yupo kwa mangura,
Rais mwinyi yupo anamzika msanii onyango.
Kenani kihongosi anatangazia UMMA yakuwa vyanzo vya TAARIFA vya kuaminika vinasema CHADEMA inapanga...
Baada ya kuona kila leo kuna mijadala ya kuwadharau walimu ikanibidi niingie Google kujua walimu wanalipwa kiasi gani. Nilichokikuta huko ni aibu!!
Yaaani kwa mwezi mwalimu analipwa posho ya...
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great...
Wanabodi,
Kwanza naunga mkono marekebisho ya sheria hizi kufanyika, kwa sababu yanafanyika kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na maslahi ya Watanzania badala ya maslahi ya wawekezaji, japo...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 43 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania.
Angalizo Kuhusu Security Conscious
Ulinzi wa taifa sio...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko...
Mara nyingi nimesema humu JF kwamba katika hali ya kuwa na raisi toka Zanzibar, waziri wa fedha toka Zanzibar, waziri wa miundo mbinu toka Zanzibar nk, kumekuwa na jitihada za makusudi kuchukua...