VIMBWANGA TARAJIWA
Jinsi tunavyoukaribia uchaguzi mkuu ndivyo tutakavyo shuhudia vimbwanga. Jiandaeni kwa muvi zifuatazo:
1. Ugomvi wa kugombea bendera mtaa wa Ufipa. Zitapigwa kavu kavu baina ya...
Nimsikia Mhe Tundu Lissu akiwa huko Uingereza kuwa akipata ridhaa ya watanzania na chama chake basi atagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao wa 2020.
Nimekuwa nikumuangalia Mhe Tundu...
Kwa kila mzalendo na mpenda haki na ustawi wa taifa letu naamini ataungana na hawa viongozi wetu wakubwa mh Lissu kama rais wa nchi na mh Zitto kama waziri mkuu baada ya uchaguzi wa 2020.wakati ni...
Huyu mzee muone tu vile alivyo. Akiwa mzoefu wa siasa, mtu asiyeyumba na mwenye historia ya kukumbana na vikwazo vingi vya chama dola (CCM) amekuwa mtu wa kutokata tamaa.
Yaliyopita yamepita...
Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatarajiwa kufanyika mwaka 2020. Hivi karibuni Tundu Lissu amenukuliwa akisema anakusudia kuomba kupeperusha bendera ya CHADEMA. Ama huko nyuma Edward Lowassa nae...
Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa.
Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima...
Historia haikuwekwa wazi, kitu ambacho Nyerere alitahadharisha watu wenye misimamo mikali hawafai kuwa viongozi. Hata moja ya sababu ya kumchagua Mwinyi kumrithi ni busara na unyenyekevu wake...
Nimekuwa nikitafakari juu ya siasa za uchaguzi wa 2020. Kwa maoni yangu, ikiwa CCM watashinda viti vingi vya ubunge, na Dr. Tulia Ackson akashinda ubunge kule Mbeya, basi atakuwa ndio Spika badala...
Nikiwa kama mwana chama halali wa CCM nitabaki kusimama kwenye kanuni ya chama inayo sema kuwa ( nitasema ukweli daima fitina kwangu ni mwiko ).
Mimi siwezi kukaa ndani ya chama kwa kujipendekeza...
Tanzania set to register four million new voters for next general elections
Tanzania set to register four million new voters for next general elections
===
CCM kupata zaidi ya kura milioni 17...
Wasalaam, tumebakisha takribani miaka 2 kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu 2020. Naona mzee Lowassa anaendelea kufanya siasa za kistaarabu na kizalendo. Tuliona mh Lowassa akienda ikulu, alienda ktk...
Wakuu habari za wakati huu,
Wakazi wa wilaya ya Same wanafukuto chin ikwa chini hapo mwaka 2020 ili waweze kupata kiongozi bora kama mbunge wao wa kuwaletea hamasa na mbinu za kimedani za kupata...
Nikiwa Kama mzaliwa wa Mwanza hususani Jimbo la Nyamagana niwaalike wananyamagana wenzangu tujadili 2020 ndio hii hapa inakuja huku jimbo letu haliko na mwakilishi bungeni utazani nae kaunga mkono...
Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) ...
KAMPENI ZA UCHAGUZI 2020
Hapana Shana CCM Watamsimamisha Dr. John Pombe Magufuli na Ukawa Watamsimamisha Low assa au Lissu au Zitto Kabwe. Na hivi ndivyo watakavyoomba ridhaa ya Wananchi kwa...
Muasi Mwita Mwikabwe Waitara amejiapiza kwamba ni lazima kwa gharama yoyote amtoe John Heche katika nafasi ya ubunge.
Akizungumza na washirika wake kadhaa mbunge huyo aliyepachikwa ubunge wa...
Yes...
Is January Makamba who is going to take the throne in General election 2020.
He will beat up the president Magufuli either in his CCM political part during nomination of presidential race...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.