Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,943
.
Salute wakuu ,niende moja kwa moja kwenye mada je wewe unavyoona ni mtu gani anaweza kuwa raisi wa"awamu ya sita" kambi zote mnaruhusiwa,utoe na fact,matusi
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Kwani Mwigulu; Kigwa; Nyalandu hawapoMakamba ndo amesalia kwenye ile 42 kama unakumbuka waliochukua form na umri wake unaruhusu
Sijui hayo n mawazo yanguKwani Mwigulu; Kigwa; Nyalandu hawapo
SafiHatuhitaji mwingine. Ni yeye tu mpk Mr God aseme basi