Uchaguzi 2020 Watanzania wazalendo tujiandae kuwapokea Lissu na Zitto kama viongozi wetu 2020

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwa kila mzalendo na mpenda haki na ustawi wa taifa letu naamini ataungana na hawa viongozi wetu wakubwa mh Lissu kama rais wa nchi na mh Zitto kama waziri mkuu baada ya uchaguzi wa 2020.wakati ni sasa tuamke!
FB_IMG_1549985688156.jpeg


In God we Trust
 
Back
Top Bottom