Uchaguzi 2020 Mtemvu kuvuliwa uanachama wa CCM baada ya kujiapiza kuchukua fomu jimbo la Temeke?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,462
215,265
Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) , Lakini Abass Mtemvu na wapambe wake wakiwemo viongozi wa ccm wa wilaya wamejiapiza kwamba Patachimbika !

nimekuletea hii ili uwe wa kwanza kufahamu .
 
Anataka kumfanya Jiwe asilale kea sababu sasa kazi ni kujibu mapigo.Wqtu wasiojulikana wanamhusu,takukuru wanamhusu, account zake na uraia wake kufuatiliwa kunqmhusu ila yajayo yanafutlrahisha
 
Hii kitu inaitwa ccm ni janga la kitaifa kuliko ukimwi, malaria na ukoma kwa pamoja

Mamilioni ya Watanzania wamekufa/wameuliwa na hili dubwana, hivyo ni wakati muafaka kulikataa dude hili kuanzia ngazi ya mtaa, kitongoji, kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi ngazi ya kitaifa, vinginevyo Watanzania watazidi kuangamia
 
Alishafulia huyo hana jipya? Hivi yule miss kikongwe yupo wapi siku hizi?
 
Na biashara yake ile ya kupeleka binadamu arabuni halafu anataka kupambana na jiwe.. Shauri zake... Mwenzake kapoteza fedha kumnunua huyo mwanaume wa kike.
 
Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) , Lakini Abass Mtemvu na wapambe wake wakiwemo viongozi wa ccm wa wilaya wamejiapiza kwamba Patachimbika !

nimekuletea hii ili uwe wa kwanza kufahamu .
Dawa yenu ni kunyakuwa mbunge mwingine wa CDM
 
Habari ndio hiyo wakuu , inasemekana Salim Chicago amekubaliana na mpango wa Polepole ambao kimsingi umo kwenye mkataba wa manunuzi ya wabunge wa upinzani ( tunakununua na tunakurudisha tena ) , Lakini Abass Mtemvu na wapambe wake wakiwemo viongozi wa ccm wa wilaya wamejiapiza kwamba Patachimbika !

nimekuletea hii ili uwe wa kwanza kufahamu .
Atapigwa sarakasi tu kama wanavyofanyuwa wapinzani. Mara ooh picha ujabandika katika form mara msimamizi wa kupokea form hayupo. Ngoja utaona tu maana CCM kwa fitna hakuna anayewaweza.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom